Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,296
- 2,495
Salaam
Katika maisha tunafanya mambo mengi sana kuepuka maumivu au kufunika maumivu....
Watu wanavuta sigara ili kupata faraja ingawa wanajua madhara yake....
Tunakunywa sana pombe kuepuka kumbukumbu mbaya au kukwepa hali halisi tuliyo nayo.. tunakimbia maumivu katika pombe....
Mateja wanatumia sana madawa ili kukwepa maumivu makali ndani yao na majuto mengi ambayo hawawezi kuyaface pasio drugs....
Watu wanabwia ugoro ili kunumb maumivu yao...
Ugumu wa maisha unafanya watu wanywe gongo ili kujisahaulisha maumivu...
Watu wanafanya sana ngono ili kupata faraja katika maisha haya katili...
Wengine wanaangalia sana picha za ngono kama njiabya kujifariji...
Wengine wanakuwa wachawi kama tu njia ya kupambana na maisha haya....
Wengine wanakuwa matapeli na wezi ili kusolve matatizo yao....
Kila mtu yuko sahihi na njia yake anayotumia ila mimi leo nachagua maumivu.... NACHAGUA MAUMIVU KAMA PARTNER WA MAISHA.....
hakuna tena kukimbia maumivu na kumbukumbu mbaya katika maisha kwa kutumia external stimulants.....
Am going to face life naked... bila pombe... bila ganja.... bila ngono.... bila ugoro..... bila madawa...... just nature....
Ni ngumu but let the pain and frustrations come....
The only easy day was yesterday