Habari za mchana wanajamvi?
Bila shaka shughuli zimekwenda vizuri katika muda huo wote tangu tumeanza pale asubuhi na mapema!
Jamani kuna wakati Miaka ya 1980 hadi mwisho wa miaka ya 1990...
yaani huko hadi kuna wakuu wa wilaya wanahangaika kufanyia kazi ile kauli iliyosema.NYIE WA KASKAZINI MAENDELEO YAMETOSHA NI ZAMU YA KUSINI,NYIE SUBIRINI..he njemba zikakaza za huko mwika...
Habarini wapendwa,kila mmoja wetu anajua kuwa serikali mpka 2020 itakuwa imeshahamia mjii mkuu wa dodoma huku ikiacha maswali ya kwanini serikali ihamie dodoma na kuacha mji mzuri na wakisasa dar...
Profesa wa Uchumi wa Chuo Kikuu kimoja alizungumza darasani kwamba hakuwahi kufelisha mwanafunzi hata mmoja, hata hivyo wakati huu Darasa zima lilikua limefeli.
Darasa lilikua limejibu mtihani...
Wakuu Salama?
Nilikuwa nashiriki Misa ya Pasaka katika Kanisa fulani Leo.
Wakati Misa inaendelea wamekuja Hawa wenzetu kutoka nchi za Magharibi wakiwa katika mavazi ambayo Vijana na Mabinti zetu...
Siku ya Dunia ni huadhimishwa duniani kote kila mwaka ifikapo Aprili 22 ambapo matukio kadhaa kufanyika kuonesha kuunga mkono juhudi za kulinda mazingira
Kwa mara ya kwanza siku hii iliadhimishwa...
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini
Ni jambo jema...
Kwa nilivowasikiliza viongozi wa dini nadhani Kuna kitu walitaka kuongea japo hawajakiweka kwa uwazi,Hebu tuwachukue wachache na walichokizungumza
1.Askofu Almachius Rweyongeza- kauli zake Mbili...
Habari zenu wakuu.. wote tunajua kwamba maambukizi ya UKIMWI husababishwa na muingiliano wa damu kati ya muathirika na asiye athirika
Moja kati ya kisababishi kikubwa ni kufanya mapenzi.. lakini...
Wadau mimi kuna jambo linanitatiza sana.
Ni kuhusu HESLB. Kila moja anafahamu kwamba kabla ya serikali hii ya awamu ya 5 haijaingia madarakani chini ya Dr. JPM, wanafunzi wa Elimu ya juu...
Tanga mpaka leo hakuna mvua hata kidogo. Tulisikia na kusoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa kimbunga kilichotokea Msumbiji, Angola na Zimbabwe ndicho kimevuruga pepo za mvua ambazo zingelikuja...
Kama mambo yamebana kwako tu usiseme kwa wote. Jana nlialikwa kwa jamaa yangu kulikuwa kunafanyika mazishi ya Mbuzi na Kuku kadhaa ambao aliwachinja.
Basi nikasema hewala...kweli toka asubuh...
Lazaro Keolori(53) mkazi wa Simanjiro aliyekuwa anajishughulisha na ufugaji amekutwa amefariki dunia baada ya kujichinja mwenyewe hadi kufa kwa kutumia Kisu kidogo chenye mpini wa mbao
Kamanda wa...
Naomba kusaidiwa kuwa ni kwa nn ugonjwa wa maralia hauwekwi ktk list ya magonjwa ya kuambukiza km HIV?,au vp mtu akifanya mapenzi na mgonjwa wa maralia na michubuko kwa wote ikatokea si wale...
Unguja.Maafisa ulizi wa mamalaka ya uwanja wa ndege Unguja wamefanikiwa kumkamata na kumuweka chini ya ulinzi raia mmoja wa Misri kwa tuhuma za kutaka kuondoka nchini akiwa na vikobe 47
Akitoa...
Hii imetokea leo bungeni mara baada ya mbunge wa upinzani kupitia chadema kuomba bunge kujadili swala la nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa serikali...
Haka kajamaa kana sauti fulani hivi amazing ya kikekike. Shida sasa anaposofiwa huwa anazidi sana kubana koo lake.
Anapenda sana kwaya zenye wanawake watupu hasa waKiroma. Anapenda sana kuhoji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.