Baba Mtakatifu amemteua Askofu Gervas Nyaisonga kuwa Askofu mpya wa jimbo katoliki la Mpanda.kabla ya kuteuliwa Askofu Nyaisanga alikua Askofu wa jimbo katoliki Dodoma.
Lipo tatizo sugu la upewaji wa leseni za udereva kwa kisingizio cha uhaba wa kadi! Mimi binafsi muda wa leseni yangu kuisha ni mwezi wa sita, mwezi wa tatu nilikwenda TRA kulipia muendelezo wa...
A lot of people think that poverty can be reduced or eradicated by so much investment in agriculture and other economic sectors,
But they forget that Environmental degradation is one big factor...
Hata kama leo mtaibadilisha katiba hali ya kuwa tuna viongozi wasio heshimu katiba,bado ni kazi bure.
Leo katika nchi yetu wana ccm peke yao ndio wanaoneka wazalendo wa nchi hii.
Mh Rais kubali...
Kwa knowledge niliyonayo kichwani nafikiria hata ni hack ma account ya watu,inachosha aisee,wandugu nichangieni vocha ya 2,000 airtel jana nimepiga kirungu cha 1500 kwenye inbox za wakuu niweke...
Ndugu zangu watanzania, hivi majuzi tulishuhudia kundi la waasi la ADF huko Congo wakiwaua wanajeshi wetu watatu na kujeruhi 16 walipokuwa kwenye msafara wao.
Ajabu yake, kumbe kiongozi wao...
Ni taarifa ya Kushtusha sana lakini ndiyo ukweli wenyewe baada ya ushahidi kuonyesha Runingani kuwa Waasi wa Kundi la ADF la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao wanapambana na Jeshi la Serikali...
Hello JF,
Haiwezekani 90% ya walimu wanaohitimu wawe unemployed...
kuna tatizo mahali...
I just think,mfumo wa kuwapata walimu hawa ndio tatizo..
sina uhakika sababu sijalifanyia utafiti ila...
Ni kuhusu ulaji ( consumption) wa mafuta wa magari. Je hali ya hewa ina mahusiano na utumiaji wa mafuta katika magari?
Kibinafsi mimi naona kama vile kunapokuwa na baridi, matumizi ya mafuta...
Habari:
Kuna mambo huwa yanafanywa Kimyakimya na Bank ambayo hatuyajui japo ndio Utaratibu Upo siku zote ila unapohitaji Huduma huambiwi Gharama zake ila wanakata Juu Kwa Juu kwenye Account...
Na Ahmed Rajab
BADO hatuna hakika nini hasa kilichotokea Alhamisi iliyopita kwenye kisiwa cha Nzuwani (Anjouan). Siku hiyo Rais Azali Assoumani alikuwa akifanya kampeni katika sehemu za vijijini...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Martin Busungu, wamesaini Mkataba wa Ujenzi wa Makao Makuu ya...
Kwa sasa bora hata dar jamani joto la mji wa Moshi linaongezeka sana.labda huko chini ya mlima kuna ule ujiuji mzito jina magma umekasirika nini?wataalam wa miamba tujuzeni
NAOMBENI MAJIBU WADAU KWELI JEHANAMU IPO?KAMA UPO INTERESTED ,THANK YOU.Biblia inaeleza waziwazi kwamba mtu anapokufa, sekunde ileile ya kufa kwake anakabiliwa na hukumu. Tunasoma katika...
Demokrasia na usawa wa binadamu kinyume na matakwa ya Mungu na vitabu vitakatifu ndio vilivyopindua ulimwengu wa mababu na mbabuzetu wa kale sana.
Mwanaume akiachia au akilazimishwa kuachia...
Ni lini au wapi Elimu kwa mlipa kodi inatolewa na TRA?
Siku gani TRA walishafanya kongamano au semina na kuita wafanyabiashara wadogo na wakubwa?
Swali: Ni asilimia ngapi ya NET profit unatakiwa...
Salam wanabodi !
Kwa uwezo wa Mungu naamini muwazima.
Kuna habari zinazungumzwa kuwa kadiri Mungu anavyokupa umri mrefu ndiyo pia muda wa kuishi hapa Duniani unapungua sana hasa kupitia ikiwa...
Jamani mimi sina mengi zaidi ya kukipongeza kiwanda kinachotengeneza kilevya aina K-Vant.
Niwe muwazi kinywaji hiki kinafaa sana kulingana na maoni na mawazo ya watumiaji tumekipenda sana ila...
KAMA ULIKUWA MHANGA WA HILI TUKIO WACHA NIKUSEMEE TU KAMA UNAOGOPA
IFIKE WAKATI VYOMBO VYETU VOWE IMARA PALE KUNAPOTOKEA EMERGENCY BARABARAN NA SEHEMU.ZINGINEZO
KKAMA UTAKUWA MHANGA WA HILI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.