Ni lini au wapi Elimu kwa mlipa kodi inatolewa na TRA?
Siku gani TRA walishafanya kongamano au semina na kuita wafanyabiashara wadogo na wakubwa?
Swali: Ni asilimia ngapi ya NET profit unatakiwa kulipa kama kodi?
Je, TRA wanakata % kwenye Gross sale au NET profit?
Hii ni changamoto kwa Wizara ya Fedha na TRA, watch out...!