Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila siku twaambiwa Muungano huu ni FAKHARI YA AFRIKA kama kweli mmepata FAKHARI kwa kuungana na kiinchi kidogo kama ZANZIBAR kwa nn hamtaki kuongeza FAKHARI yenu kwa kuanza mchakato wa kuungana...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimemfatilia huyu shekh Utube kwa kile alichokuwa akikieleza kuhusu zanzibar,kwa kweli Zanzibar ni koloni la Tanganyika. Wanzanzibar haya ya huyu shekh yanaukweli? Kapicha hako
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Wakuu nimeshindwa kulielewa hili jiwe. Nimeangalia kama ni chupa au kioo lakini inaonekana ni jiwe. Je ni jiwe la kawaida au ni aina ya madini? na kama ni madini ni ya aina gani?
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Wasalaaam, Nataka leo kujua wale majamaa ambao huwa tunasafiri kwa kutumia mabasi,malori au magari binafsi.Je huwa tunakutana na changamoto gani hasa tunaposafiri usiku.Mfano leo naelekea Mikoa ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mpaka jana saa 1 usiku TMA ilisema kimbunga Keneth kipo KM 600 mashairi mwa mtwara, watanzania wenzetu walipo huko watujuze hali ilivyo tafadhali.. -------------- Saa 7 mchana Kimbunga Keneth...
5 Reactions
738 Replies
91K Views
Naweka Uzi mezan jmn.Kuna binti mmj rafiki yangu sana.Naishi nae kijiji kimoja.Alikuw na akili na bidii ktk masomo yake.Kamaliza form4 mwaka Jana na kupata div 4 ya 29. Kutokana na mazingira ya...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Nazanin alichumbiwa akiwa na miaka mitano na alipofikisha mika kumi alikua mke wa mtu. Familia ya mume wake wa miaka 12 ilimnunua kwa dola 3,500 miaka sita iliyopita. Wazazi wake walimuuza ili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh kuna tatizo la kubambikiwa faini,unakuta gari linafanya kazi tanga,lkn unakuta gari limeandikiwa faini ya kinyerezi dar,na unapowaambia wewe hujawahi fika huko kinyerezi wala gari halijafika...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Hivi karibuni nimeona TCRA wakitoa utaratibu wa umilikaji wa 'line' za simu kwa wateja kwamba mtu hatoruhusiwa kuwa na zaidi ya moja kwa mtandao mmoja. Mie nina Zaidi ya 'line' moja ya mtandao wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Ebana nilikuaga naskia tu watu wakilalamika kuchafukwa na matumbo wawapo safarini. Sasa me yamenikuta last week nikiwa safarini toka mkoa fulani wa Kanda ya Ziwa kuja Dar, yani...
3 Reactions
79 Replies
11K Views
BLACK DAY TANZANIA 2019 NINAANDIKA posti hii kwa uchungu mwingi. Ni miongoni mwa maandiko machache niliyowahi kuandika huku machozi yakinilenga sawa na mtu aliyehukumiwa kunyongwa. Naililia mama...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Kati wa wasomi wachache ambao taifa hili limebarikiwa kuwa nao, huyu Prof. ni miongoni mwa wasomi adimu waliobaki hapa nchini Isome hii tweet yake, linganisha na Hali halisi ya nchi yetu kwa...
19 Reactions
113 Replies
14K Views
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionWaandamanaji wakiunga mkono harakati za wahanga wa kuhasiwa mwezi Mei 2018 Maelfu ya raia ambao walihasiwa bila ridhaa Japani wameombwa radhi na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habarini!.Ikiwa zimebaki siku takriban 2 baadhi ya watumishi wanaendelea kuisubiri kwa hamu kubwa wakiwa na mategemeo chanya kutoka serikalini, nilipata bahati ya kufanya mazungumzo na...
0 Reactions
3 Replies
656 Views
Watu wengi hutamani sana kupandishwa vyeo baada ya kuchoka sana na nafasi walizokuwa nazo kwa muda mrefu, au pia wengine wanatamani sana kupandishwa vyeo kwa sababu ya kuongeza kipato ili kufikia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la Reuters, Umoja wa Falme za Kiarabu uliingiza katika nchi zao dhahabu yenye thamani ya dola bilioni 15.1 kutoka Afrika mnamo mwaka 2016...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Humu JF Kila mtu mambo safi sisi ngoja tuelezee kero ,visa n vioja vyetu tusiona na hizo range rover,bmw na benz. Nmeshuka kituo cha basi leo asubuh mitaa flani hiv naelekea job pale stand...
12 Reactions
36 Replies
6K Views
Muda huu ni saa 5:00 usiku lakini ubungo kuna foleni kali, nini shida hadi adha hii imerejea tena? Hawa trafiki hapa wanatafuta nini mbona mzunguko ulikuwa umeondoa hii foleni??
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.Nina Baba yangu mdogo alistaafu na kubahatika kupata M100 ambapo kwa bahati mbaya tangu alipoajiriwa hajawahi kufanya biashara sembuse...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Back
Top Bottom