malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,639
Demokrasia na usawa wa binadamu kinyume na matakwa ya Mungu na vitabu vitakatifu ndio vilivyopindua ulimwengu wa mababu na mbabuzetu wa kale sana.
Mwanaume akiachia au akilazimishwa kuachia nafasi yake kama kiongozi na mtawala wa familia na kupewa wanawake mara moja nchi au eneo hilo linakosa dhamani na uthabiti.
Nchi ya Rwanda ndiyo nchi pekee Afrika na Dunia kwa kufanya usawa wa Wanaume na wanawake katika ngazi zote za uongozi kuanzia ngazi ya familia.
Tulijifunza vizuri pale tulipojiuliza kwa mshangao inakuwaje nchi za Magharibi watu wanaoana kwa ndoa za mikataba na Mwanamke anaamua abebe mimba na mtoto atakuwa wa nani katika mkataba huo.
Rwanda ilipofikia kilelel cha mgawanyo wa haki sawa mwaka mmoja uliopita sasa tumeanza kuona madhara yaka.
Leo DW wametangaza Nchini Rwanda kati ya Ndoa 100 zinazofungwa 62 huvunjika (yaani wanaachana) hii inamaana 62% ya ndoa zinavunjika nchini Rwanda. Na kwa dunia kati ya ndoa 100, ndoa 45 hufunjika ndani ya mwaka.(yaani 45% ya ndoa huvunjia muda mpupi )
Katika Taarifa hiyo Jaji mkuu wa Rwanda alitoa sababu nyingi miongoni mwao ni:
1- Usawa wa Wanawake na wanaume - Wanawake wakitaka kumiliki fedha na mali kuliko wanaume.
2- Mporomoko wa Mila na desturi zilizokuwa zinawashikamanisha Wanaume na wanawake.
3- Uchumi - Kwamba wanawake wakiwa na uchumi mzuri haja ya ndoa/kuwa chini ya mtu kinatoweka.
4. Nk.
Nini cha Kujifunza.
Kuna mchungaji wangu mmoja msomi alisema 98% ya wanawake wanaofanikiwa kimaisha (kipato,siasa, uchumi) huwa hawahemimu misingi ya ndoa, hurudi nyumbani masaa wanayotaka, hulazimisha maamuzi yao nk.
Kwa sisi wakristo huko marekani na ulaya Biblia zimeanza kulazimishwa kuelekea katika usawa wa Mwanamke na Mwanaume na kufikia kujaribu kufuta vifungo vyote vinavyo onekana vinaegemea kwa Mwanaume.
Hapa Kwetu tanzania kuna mauaji ya kutisha ya kifamilia, utakuta Mume anaua watoto wake kwa kuambiwa sio wake, Mume kuuwa mke wake kwa shoka kwa sababu za kimapenzi na haki ya kujamiiana (tendo la ndoa kwa wana ndoa sasa ni hiari na si lazima kwa mwanamke. akikataa amekataa ukilazimisha umembaka).
Kuna uzi (post) ilipita jamaa akieleza anachopata kwa kahaba ni bora kuliko mwa Mke wake, kwa wale walioshiba miaka kidogo miaka 40... Tulimuelewa vizuri sana yule ndugu. HUU NDIO UKWELI Ukijaribu kutoka kwenda kwa mchepuko au madada poa kwa gharama ndogo( But not safe) you will be satsfied mara 100 kuliko kijigombanisha kwa ajili ya kuomba tendo la ndoa kwa mke wako aliye na shughuli nyingi za vikoba. Ndio maana ulaya na Marekani kuna official madanguro.
Si ushauri mzuri hata kidogo ila kwa sasa unafaa kabisa.
Ningeshauria wanawake na wanaume wakae pamoja kusuluhisha matatizo yao. Ijapo kuwa usawa tayari upo kwenye sheria za nchi
Twendeni sasa kwenye ndoa za mikataba, Mkataba ukiisha kila mtu abebe chake kuliko kuuana kwa sababu za fikra za wazungu waliopania na nia ya kuaribu utamaduni na mila zetu.
Tukumbuke demokrasia ikizidi inakuwa dhambi. (haitawezekana kila mtu kuwa sawa na mtu mwingine, hata mashoga!)