Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NOTE : Sio hospital zote ila nazungumzia kwa kuzingatia asilimia, Nimezunguka hospital nyingi sana mara chache kama mgonjwa na mara nyingne nying km muuguzi/msaidizi, hospitali nying za private...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
Kwanza nipende kuipongeza serikali ya Tanzania katika kuhakikisha wanaenda sambasamba na maendeleo ya sayansi na teknolojia hususan katika matumizi ya simu za mikononi ambapo serikali kupitia TCRA...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kipindi naenda uwanja wa taifa tukawa tunapiga stories kuhusiana na dhana ya uchawi Kama kweli upo au haupo..Mimi binafsi siamini Kama Kuna uchawi so katika stories ikasemekana Kuna pikipiki...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Waziri kujitokeza na kujibu hoja za CAG Kwamba Kama ni kweli utavua nguo hapa umeonyesha udhaifu mkubwa na mamlaka iliyokuteua haina tudi tutafakari. Hoja za kiuhasibu hujibiwa kwa vielelezo si...
11 Reactions
147 Replies
11K Views
Nlikuwa napima uzito asubuhi hii nikiwa na jamaa yangu mmoja Sele Bonge. Tuliacha gari lioshwe nasi kuamua kupata soup chapati na wale jamaa ambao wanapita pita kupima uzito wa wenzao akaja...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Inaaminika kuwa, mpaka anafariki Mwanasayansi Isaac Newton hakuwahi kukutana kimwili na mwanamke yeyote yule. Alifariki mwaka 1727 akiwa na miaka 84 ikiaminika bado bikira. Source: History News...
8 Reactions
64 Replies
17K Views
NEWS UPDATES Mwanamke mwingine mkazi wa Kiboriloni katika Manispaa ya Moshi,Sophia Kimaro (28) amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kusafirisha kilo 12:5 za Mirungi, kosa alilolitenda...
4 Reactions
102 Replies
15K Views
Huyu jamaa kama sio kutumwa basi "upstairs" kuna shida kubwa tena isiyo kidogo 1. Mosi anashindwa kupangilia vizuri "uhongo" wake kama ilivyo desturi ya watu wabaya wengi au watangulizi wake...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
IN THE RESIDENT MAGISTRATE’S COURT OF DAR ES SALAAM AT KISUTU CRIMINAL CASE NO. 555 OF 2003 REPUBLIC Versus NGUZA VICKING @ BABU SEA & 4 OTHERS JUDGEMENT A. Lyamuya PRM The four male...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Binafsi nimejua kusoma na kuandika miaka 4/5 kwa sababu ya chekechea ya mjasiliamali mmoja hapo mtaani kwetu. Kuna mama mmoja aliniambia yeye na ndugu zake walifundishwa kusoma na kuandika na baba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MAMBO YA KUJUA KABLA HUJATEKWA Dr. Albanie Marcossy, PhD. Naandika kwa kutumia uzoefu wangu, ufuatiliaji na tathmini nilizozifanya juu ya maandiko mbali mbali ya kiusalama na matukio ya...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Kikweli wakati nasoma comments za uzi huu, niliamini kabisa kumbe ile mashine ya kuchunguza wezi ilipofika tz iliibiwa hata kabla haijakamata hata m1. Hakuna kitu kizuri kama unapokuwa na shida...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Watumishi wa umma wanakopa sana mabenki tofauti tofauti na taasisi mbalimbali za fedha kama saccos, finca na kwa watu binafsi. Cha ajabu watu hawaogopi kuchukua mikopo maana huwa inawatafuna...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Ofisa Ugavi Msaidizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Benjamin Mugeta anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za wizi wa saruji. Takriban mifuko ya saruji 134 kati ya 600...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari? Kutokana na hali ilivyo sasa ya teknolojia ya habari na mawasiliano, nashauri wahusika waweke somo la UANDISHI WA HABARI kwenye mitalaa (mitaala) kuanzia elimu ya Msingi angalau kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
NB: Moderator wa hapa Jamiiforum kama huu uzi utakuwa against laws zilizopo hapa naomba muufute na kunisamehe ban Nimeamua kuleta hapa hili jambo kwa maslahi mapana ya usalama wa nchi yetu,upendo...
2 Reactions
222 Replies
26K Views
Source: http://mtanzania.co.tz/wakazi-500000-mto-msimbazi-kulipwa-fidia/ Na John Dande -Dar es Salaam WAKAZI zaidi ya 500,000 wanatarajia kulipwa fidia kupisha mradi wa ujenzi wa Mto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Source: https://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Rais-Magufuli-alivyoshika-zamu-kukusanya-sadaka-Mbeya/1597296-5092262-r98u43z/index.html
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Yes, kitu ukikipa kipaumbele sana kinakusumbua. Ubongo una hulka moja, unachoufeed ndo hicho hicho unakutolea. Kipindi naogopa uchawi hata bundi akilia tu juu ya paa silali, full kuhangaika na...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Sherehe za mei mosi mwaka huu kitaifa zitafanyika Mbeya,na inatarajiwa Mh.Rais Dk.John P.Magufuli atakuwa mgeni Rasmi kwenye sherehe hizo.Karibu Mbeya mh.Rais. Itakuwa ziara yake ya kwanza...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom