Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Ni kuhusu ulaji ( consumption) wa mafuta wa magari. Je hali ya hewa ina mahusiano na utumiaji wa mafuta katika magari?
Kibinafsi mimi naona kama vile kunapokuwa na baridi, matumizi ya mafuta hupungua ukilinganisha na hali ya hewa inapokuwa ya joto.
Juzi nimeenda mwendo wa 200km ( kwenda na kurudi) na nilikuwa nimeweka mafuta ya 50,000 maana nilizoea kawaida kutumia mafuta ya 50,000 to 60,000. Cha kushanganza, nilienda na kurudi na mshale ulishuka bar moja tu amabayo ni kama mafuta ya 25,000. Hii ni mara ya pili naona matumizi ya mafuta kuwa chini kama kuna baridi au mvua.
Hali ya hewa ya jana ilikuwa baridi na mvua tu toka asubuhi hadi jion.
Vipi kwa watumiaji wengine wa magari, Je umeshagundua kuwa kuna tofaut katika ulaji wa mafuta wa gari yako kulingana na hali ta hewa?
Je kama ni kweli, kuna maelezo ya kisayansi au kitaalamu kuelezea kwanini hii hutokea?