Mfanyabiashara Maarufu jijini Arusha,Philemon Mollel (Monaban)aliyekuwa na mgogorobwa eneo na wananchi wanne Ismail Kilas,Jackline Bendera, Aisha Mkwawa na Jane Sylvester wakazi wa Namanga...
Roundabouts can reduce delays for pedestrians compared to traffic signals, because pedestrians are able to cross during any safe gap rather than waiting for a signal. During peak flows when large...
Nimesikia vilio na simanzi kwa wafanyakazi kote nchini kwamba mzee baba amegomea ongezeko la mshahara,,
Lakini cha kushangaza hali ilivyo mitaani ni tofauti kabisa na nilivyotegea kwamba baada ya...
Habarini wakuu
Hivi ushawahi tolewa nishai n kiingereza?
Mimi binafsi nakumbuka ilikuwa darasa la pili shule ya msingi Ligula,Mtwara
Nakumbuka madam wetu wa english ukingea kiswahili tu ni...
Watano Mbaroni kwa kumuua Mwanamke na Kumchana Sehemu za Siri
Jeshi la polisi mkoa wa Njombe linawashikilia watuhumiwa watano kwa kuhusishwa na tukio la mauaji ya mwanamke aliyefahamika kwa jina...
Wanabodi, Salaam!
Siku ya wafanyakazi ni tarehe 01/05/2019
Siku hiyo tutashuhudia mambo mengi sana - nadhani tutaelewa faida tulizopata baada ya kuwatumbua wafanyakazi hewa - nadhani tutapata...
Katibu Mkuu wa Tucta,Nicholaus Mgaya.
Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi (Tucta) limesema kitapaleka kilio chao cha kima cha mshahara kiwe angalao 720,000 kwa ajili ya kukidhi maisha ya...
Mm ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha Nasoma diploma YA banking and finance natafuta sehemu YA kufabyia mazoez yaan field please mwenye connection nisaidieni
Wazungu wengi wanapotua uwanja wa ndege hapa nchini kwa lengo la kuja kuwekeza, humkuti akienda Kariakoo kutafuta fremu ya duka, bali utaona anatafuta na kuelekea vijijini kwenye ardhi. Huko...
1.Ni rahisi kuugua asthma pamoja na magonjwa mengine ya upumuaji hii ni kutokana na wingi wa magari na viwanda kwenye makazi vinavyosababisha air pollution.
2.Ni rahisi kuishiwa nguvu za kiume kwa...
Nipo kwenye maandamano ya mei mosi Mbeya lkn kila nikiweka uzi wa matukio mtandao unazunguka tu hamna kitu.
Yani mmeboa sana mjipange kuna wenzenu wanakuja speed 120
*SWALI*....
```Zamani wadada walikuwa wakikojoa, mkojo unachimba kishimo, lakini siku hizi wakikojoa mkojo unasambaa, sijui tatizo ni nini?```
*JIBU*
Tuanze kwa kusema Fizikia ama Hisabati...
Habarini wote humu jamvini
Nafanya kazi katika kampuni moja happy mjini(sitaitaja jina). Nimekuwa na tatizo la kulala toka saa 5 za usiku mpaka saa3,Hali inayonipelekea kuchelewa kazini mara kwa...
Kama tumeweza kuacha kuazimisha sherehe za Uhuru , Muungano na nyingine za kitaifa kuokoa fedha , kwa nini viongozi wa wafanyakazi na serikali wasiwe wanahairisha sherehe za Mei Mosi ili waweze...
Wakuu hamjambo ? Naomba tuwaze kwa kina juu ya jambo hili, binafsi huwa nakaa na kuwaza sana juu ya Maisha yetu sisi wanadamu hapa duniani?
Kiufupi Maisha ya duniani ni mafupi kuliko Maisha ya...
Aisee nipo na ka TV kangu naangalia hii kitu ya Mei Mosi kupitia ITV ambao wamejiunga na TBC, hizi picha nazoziona hapa utafikiri zimepigwa zama za Pontio Pilato! Watu wanaonekana kama masanamu...
Kwasasa kuna nyimbo mbili:-
1.Queen Darlin-Muhogo
2.Rosa ree ft.Tammy tdat-Asante baba remix
Hizi nyimbo zingesikika kwa watu wanaojifanyaga wako dunia ya zamani na wasiojua mziki,zingekuwa...
Hivi karibuni,tutaanza mfungo was mwezi Ramadhan,hivyo tujitahidi kuepuka matendo yasiyokuwa ya kidini huku tukijitahidi kuyahifadhi na kuyatumia yote tutakayojifunza Ramadhan ijayo.
Asanteni kwa...
Tanzania's standards watchdog has seized four tonnes of used underwear in an ongoing crackdown in the country's northern zone regions, an official said on Sunday.
"Most of the imported used...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.