Faida na Madhara ya kuishi Dar es salaam

Faida na Madhara ya kuishi Dar es salaam

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,402
1.Ni rahisi kuugua asthma pamoja na magonjwa mengine ya upumuaji hii ni kutokana na wingi wa magari na viwanda kwenye makazi vinavyosababisha air pollution.
2.Ni rahisi kuishiwa nguvu za kiume kwa sababu ya vyakula junks kuanzia mayai ya kisasa,mboga mboga ambazo zinakuzwa kwa madawa..n.k
3.Ni rahisi kutapeliwa na kuibiwa.huku Kila mtu mjanja na Kuna matapeli Kila baada ya mita kumi.watu wote wako macho kucheki ma deal.hawana huruma wapo tayari kukuona unakufa ilimradi wao wapate faida.dar Kila mtu sio mnyonge watu wanakuthaminisha tu wakiamua wanakuuza na kukufanya biashara
FAIDA ZA KUKAA DAR
1.Unakutana na vi elfu kumi elfu kumi sio Kama mkoani ambapo kuishika 5000 tu yenyewe ni msala.
2.biashara zinatoka sana tofauti kabisa na mkoani
3.amsha amsha nyingi na stories Kila siku zinaanzia dar Mambo mengi sana tofauti na mkoani ambapo ni rahisi kukaa kinyonge hasa Kama sio mtumishi wa serikali na huna uhakika wa pesa
 
Kuna Dares Salaam na "Pembezoni mwa Darisalama"

Kule ambako unatumia masaa 6 kufika Ubungo
Me nasemea kuishi katikati ya jiji..sisemei maeneo ya kibaha au tegeta bagamoyo huko at least kidogo Kuna hali ya hewa nzuri
 
Back
Top Bottom