Swali: Kwanini zamani wadada walikuwa wakikojoa mkojo unachimba shimo tofauti na siku hizi?

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,908
*SWALI*....
```Zamani wadada walikuwa wakikojoa, mkojo unachimba kishimo, lakini siku hizi wakikojoa mkojo unasambaa, sijui tatizo ni nini?```

*JIBU*
Tuanze kwa kusema Fizikia ama Hisabati hazidanganyi.
Fizikia inajibu hili swali vizuri Sana. Tuanzie hapa

Pressure is defined as *Force per unit area.* (P = F/A) It is usually more convenient to use pressure rather than force to ```describe the influences upon fluid behavior```. The standard unit for pressure is the Pascal, which is a *Newton per square meter* (N/m2)

Kwa hiyo ni kwamba, Eneo likiwa dogo Presha inakuwa kubwa Sana, na Eneo likiwa kubwa, presha inakuwa ndogo Sana... (yaani kama vile denominator 1/580 katika mafao ilivyo kubwa na namna inavyowaumiza Wastaafu)
Kwa hiyo tuhitimishe kwa kusema kuwa, Fizikia na Hisabati hazidanganyi. Kwa hiyo wadada saizi mkojo wao hauwezi kuchimba shimo kwa sababu *MATUNDU* yao yametanuka Sana Sana yaani... Yaani ni makubwa mno mno...
Na ili kujifafiji wadada wamekuja na kamsemo ka *KIBAMIA*, Kumbe hamna kitu.. Ni kutanuka kwa matundu yao.... (Rejea *Use and Disuse theory*)

N.B: Tuliosoma PCM, PGM, PCB hivi vitu havitusumbui kabisa yaani.
 
Aisee ulisoma sayansi ya combination hizo na ukamaliza chuo na ado unasema mkojo unatoka kwenye shimo?
Hahahahha
Mkuu mkojo unatoka kwenye urethra sio vagina.
Kwenye tundu la uke kwa juu kuna kinyama ambacho ndani yake kina kimrija kidogo sana.. Hiki ndo urethra ambacho kimetoka moja kwa moja kwenye kibofu.
Ni kama nyinyi hapo kwenye uhme wenu hicho kimrija no urethra na pia ndio njia ya kutolea mbegu zenu ndo mana umekua mistaken wanawake watatolea mkojo kwenye vagina..
 
Upo sahihi Mkuu, hadi baadhi ya wanawake hawajui kama mkono hutoka katika hilo tundu Bali kwenye Uke. Hakuna uhusiano Wa mkono Na ukubwa Wa tundu la Uke nukta
 
Here we go buddies
Hapo kwenye urethra opening ndipo mkojo unapotokea na sio tundu la pili ambalo ni uke
Tundu la urethra linatoka kwenye kibofu
Na hilo tundu la pili linakupekeleka kwenye mfuko wa uzazi na pia damu za mwezini zinatokea hapo pia

Screenshot_2018-12-13-11-29-57.jpeg
 
Mleta mada pamoja na kujitapa NA PCB yako umeshindwa kuelewa swala hill Dogo kuwa mkojo unatoka kwenye urethra ukajidai kuleta na formula ili tu uonekane upo nondo ndio nyinyi mliokuwa mnachanganya madesa formula ya force unataka kusovia swali la trigonometry
 
Here we go buddies
Hapo kwenye urethra opening ndipo mkojo unapotokea na sio tundu la pili ambalo ni uke
Tundu la urethra linatoka kwenye kibofu
Na hilo tundu la pili linakupekeleka kwenye mfuko wa uzazi na pia damu za mwezini zinatokea hapo pia

View attachment 966747
Aiseee
CHAPUTA watapigia nyeto hii picha eti.

Duh, anus kanuna huyooooo, hatari
 
Aisee ulisoma sayansi ya combination hizo na ukamaliza chuo na ado unasema mkojo unatoka kwenye shimo?
Hahahahha
Mkuu mkojo unatoka kwenye urethra sio vagina.
Kwenye tundu la uke kwa juu kuna kinyama ambacho ndani yake kina kimrija kidogo sana.. Hiki ndo urethra ambacho kimetoka moja kwa moja kwenye kibofu.
Ni kama nyinyi hapo kwenye uhme wenu hicho kimrija no urethra na pia ndio njia ya kutolea mbegu zenu ndo mana umekua mistaken wanawake watatolea mkojo kwenye vagina..
Naomba unitumie nikione hicho kinyama!
 
Back
Top Bottom