Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,463
Habarini wakuu
Hivi ushawahi tolewa nishai n kiingereza?
Mimi binafsi nakumbuka ilikuwa darasa la pili shule ya msingi Ligula,Mtwara
Nakumbuka madam wetu wa english ukingea kiswahili tu ni bakora,alikua mkali kwelikweli
Nikiwa ndo kwanza nna 2days toka nihamie hiyoshule,sku hiyo tumekaa darasan kimyaa madam anasahisha daftar meza ya mbele ya mwalimu
Nilishikwa na mkojo wa hatari,ikabidi nimuulize mwenzangu eti kwenda choon kwa kiingereza tunasemaje??
Daaah kijamaa hata akinisikilizi na siwez inuka kwenda dawat lingine kuuliza jinsi ya kuomba ruhusa kwa kiingereza (nina tatizo la kusikia) maana sikubahatika kumsikia pale anapoombwa ruhusa zaidj ya kuona bakora zkitumika kwa wale walioomba ruhusa kwa kiswahili
Nikajikaza hku naogopa kwenda kuomba ruhusa hatimaye kojo likaanza kumwagika huku nimeganda kama sanamu niliachia kojo loote bila hata kujitikisa😁😁
Shikamoo ung'eng'e Nilichekwa sana ile siku😁😁