mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
Wanabodi, Salaam!
Siku ya wafanyakazi ni tarehe 01/05/2019
Siku hiyo tutashuhudia mambo mengi sana - nadhani tutaelewa faida tulizopata baada ya kuwatumbua wafanyakazi hewa - nadhani tutapata kuambiwa uwekwaji lumpango wa baadhi ya watumishi na wafanyakazi unaofanywa na baadhi ya Ma DC.
Lakini kubwa zaidi huenda tukapata maneno ya faraja:-
= Kuongezeka mishahara,
= Kupungua kwa kodi kwenye mishahara,
= Kupanda madaraja,
= Ulinganifu wa mishahara (mtumishi mmoja kulipwa 3.5M, Kodi ya nyumba, Umeme, Maji, na simu huku mwingine akilipwa 300,000 pekee),
= Uhamisho wa wafanyakazi, nk
Maendeleo ya Jamii hayana vyama!
Tukutane MEI PILI!
Kabla ya kufika Mei 2, kuanzia sasa upande wa chungwa umechana mkeka wangu - wafanyakazi wa Tanzania poleni kwa malengo yenu kukawizwa - endeleeni kuchapa kazi kwa bidii mishahara itaongezeka 2020 wakati wa uchaguzi - isemeeni vizuri Serikali yetu ya CCM
JPM bado anajenga uchumi wa nchi akimaliza ataongeza mishahara
MK 2019