Tuna Sheha kwa upande wa Bara mnamwita Mwenyekiti anatuuzi sana wananchi kwa kulazimisha michango ambayo haistahili kwakweli. Zanzibar tuna masheha wengi lakini sijawahi kuona vituko anavovinya...
Nimepita mahali tofauti tofauti na kukutana na malalamiko ya abiria wa shirika letu pendwa kwamba hamkurusha ndege kwenda destination mliyozindua juzi tena bila maelezo yoyote.Nachelea kutoa...
Aisee leo 1/5/2019 baada tu ya hotuba ya Mh. Rais , kila ninayechart anasema yupo mahali anapiga moja mbili tatu .
Mm mwenyewe nakula K vant yangu hapa nikalale tu. Ikumbukwe kesho ni kazini.
Kwanza niseme kwamba pamoja na uamuzi wa UBT kuhamishiwa Mbezi umeshafanyika kinyume na maoni yangu hapa na ya wengine huko nyuma; ningependa jambo hili lijadiliwe kama sehemu ya dira ya sera ya...
Kheri na poleni kwa mihangaiko ya maisha kuhakikisha mkate unapatikana ndani ya familia.
Niende kwenye maada husika .
Ni kwamba kuna ndugu yangu ambaye kamaliza chuo level ya Diploma sasa leo...
Mishahara wanayolipwa wafanyakazi wa serikali Tanzania ni mikubwa sana kulingana na kazi wanazofanya. Yaani serikali inalipa watu 100 kwa kazi ya watu ishirini tu. Tukifanya individual output...
Wakuu naombeni mnieleweshe, je ni sahihi kufanya sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtu ambaye tayari ni marehemu?
Kidini na kijamii liko sahihi? Kama ni sahihi faida yake ni nini hasa!
All...
POLISI Kanda ya Dar es Salaam linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kuharibu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kuiba mafuta kwenye transfoma na kuyauza.
Akizungumza na...
Na Ahmed Rajab
RAIS Ahmed Abdallah wa Comoro aliyeuliwa Novemba 26, 1989 na askari wa kizungu aliowakodi mwenyewe, anakumbukwa kwa mengi. Kuna wanaomuona kuwa shujaa kwa kuthubutu kuikabili...
Kaya 56 zilizoko eneo la Fumagila kata ya kishili wilayani Nyamagana mkoani Mwanza hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba 59 kuanguka kutokana na mapaa yake kuezuliwa na mvua kubwa iliyonyesha...
I attended a seminar about retirement:
The place was at blue post Hotel....thika.
Basically the message was:
1. As you always go to work....remember one day you will retire. You won't be going...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza...kwakweli kuna tabia za vinyozi hua zina kera sana unapokua umeenda kupunguza nywele...
1; Unakuta kinyozi .anapokea simu anaanza kuongea huku anaendelea na...
This is a bitter truth ! I call it a serious fact! Mfano, kama take home mtumishi unapata 800,000 kwa mwezi that makes 9.6millions per year , if take home is 1 million = 12millions per year.
Toa...
Heri ya Mei Mosi Watanzania wenzangu. Bilashaka tumesherehekea vema siku hii muhimu ya wafanyakazi duniani.
Binasfi nimeona nichangie maoni yangu kwa siku hii kuwa ni HERI TUJENGE MIUNDOMBINU...
Leo Mh.Rais Magufuli amewajibu TUCTA kuwa muda wake wa kuondoka madarakani bado.Nadhani aliwashangaa kumkumbusha mapema sana ahadi yake ya kupandisha /nyongeza ya mishahara kabla ya muda wake wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.