Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,984
Naona mzee anatoa takwimu hapa
Billion........ Zimelipa walimu elfu ........
Billion ....... Zimetumika kama annual increment
Billion 291.3 madai ya mishahara
Billion ......... Malimbikizo ya mishahara
Trillion 1.5 imelipwa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamiii.
Kikotoo chetu hakipo kwingine ni sisi tu na tumeamua kufanya maamuzi magumu kwa upandendo mkuu. Hata nchi zilizoendelea hazitumii kikokotoo kama chetu.
Haya ni mambo muhimu kwa wafanyakazi wa nchi hii.
"Niliahidi kuongeza mshahara kabla sijaondoka ( wakashangiliaaaaaaa) lakini naomba niwaambie sijaondoka bado" watu aghhhh
Nikisema niwaongeze mshahara bidhaa zitapanda.
Sitaki niwapake uji kuwapandishie mishahara, lazima tujenge uchumi imara.
Wafanyakazi wanacheka na wengine wamekunja nyuso.