Ngoja tuendelee kupigika

Ngoja tuendelee kupigika

Xubzero

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
244
Reaction score
414
Wazungu wengi wanapotua uwanja wa ndege hapa nchini kwa lengo la kuja kuwekeza, humkuti akienda Kariakoo kutafuta fremu ya duka, bali utaona anatafuta na kuelekea vijijini kwenye ardhi. Huko atafanya mambo mawili kati ya haya ama yote kwa pamoja:-

1) Atachimba na kuchukua vilivyomo ardhini (madini)

2) a. Atapanda na kuvuna kutoka ardhini(kilimo)

b) Ataweka vyenye uhai na kuvikuza juu ya ardhi(mifugo).

Sisi "wabongo" tukiwaza kuwekeza ama kufanya biashara akili zetu zinawaza kupata fremu za maduka Kariakoo ama kupata ofisi za "vioo" pale PPF Tower, Ubungo Plaza na Mafao House za mjini. Ngoja tu wageni wanaokuja nchini waendelee kutajirika mbele ya macho yetu kwa sababu tumekuwa wavivu kutazama namna wanavyotazama
 
Last edited by a moderator:
Mzungu au mchina akilima tayari anasoko,aleti kariakoo.Wachina wanafyatua tofali wanapa kuuzia kwa wenzao wajengao magorofa.
 
Ni vizuri kabla hujafanya chochote hakikisha una taarifa sahihi kama masoko,Changamoto nk
 
Wazungu wengi wanapotua uwanja wa ndege hapa nchini kwa lengo la kuja kuwekeza, humkuti akienda Kariakoo kutafuta fremu ya duka, bali utaona anatafuta na kuelekea vijijini kwenye ardhi. Huko atafanya mambo mawili kati ya haya ama yote kwa pamoja:-

1) Atachimba na kuchukua vilivyomo ardhini (madini)

2) a. Atapanda na kuvuna kutoka ardhini(kilimo)

b) Ataweka vyenye uhai na kuvikuza juu ya ardhi(mifugo).

Sisi "wabongo" tukiwaza kuwekeza ama kufanya biashara akili zetu zinawaza kupata fremu za maduka Kariakoo ama kupata ofisi za "vioo" pale PPF Tower, Ubungo Plaza na Mafao House za mjini. Ngoja tu wageni wanaokuja nchini waendelee kutajirika mbele ya macho yetu kwa sababu tumekuwa wavivu kutazama namna wanavyotazama
so dissapointed,
 
Karudi baba mmoja toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja ili kumtaka hali
Wakataka na kauli iwafae maishani
Unajua akichowaambia???
Kama mnataka Mali mtaipata shambani,binafsi nilichokorachokora ardhi nikaambulia patupu
 
Wazungu wengi wanapotua uwanja wa ndege hapa nchini kwa lengo la kuja kuwekeza, humkuti akienda Kariakoo kutafuta fremu ya duka, bali utaona anatafuta na kuelekea vijijini kwenye ardhi. Huko atafanya mambo mawili kati ya haya ama yote kwa pamoja:-

1) Atachimba na kuchukua vilivyomo ardhini (madini)

2) a. Atapanda na kuvuna kutoka ardhini(kilimo)

b) Ataweka vyenye uhai na kuvikuza juu ya ardhi(mifugo).

Sisi "wabongo" tukiwaza kuwekeza ama kufanya biashara akili zetu zinawaza kupata fremu za maduka Kariakoo ama kupata ofisi za "vioo" pale PPF Tower, Ubungo Plaza na Mafao House za mjini. Ngoja tu wageni wanaokuja nchini waendelee kutajirika mbele ya macho yetu kwa sababu tumekuwa wavivu kutazama namna wanavyotazama
Uzi mzuri umekaa kizalendo.
Mara nyingi pabaya ndio kuna rasilimali ndio maana madini,wanyama,mazao viko porini.Kwa waarabu mafuta yako jangwani huwezi kuta dhahabu dar au mafuta Muscat utayakuta Sohar.
Sasa wazungu wameshagundua ujuha wetu ndio maana wakija kwetu wanakwenda porini sisi tunakimbilia mjini kubet na kutafuta sehemu tupike chips
 
Back
Top Bottom