Kama mzalendo wa nchi yangu. Nimeshituka kuona Rais akilindwa na Jeshi lililovaa magwanda tofauti na tuliozoea ya Jeshi letu la Tanzania. Sijawai kuona kikosi cha JWTZ kikivaa gwanda za bakabaka...
Kwenye maisha kunanyakati unapita kwenye mapito magumu ambayo hakuna awezaye kukuelewa.
Unapita mahali ambapo unahisi pumzi ya uvumilivu inakuishia, unahisi kukata tamaa na maranyingine hata...
Ukimwangalia Dr Harisson Mwakyembe alivyo sasa,halafu ukavuta hisia za alivyokuwa kabla hajafanyiwa umafia utagundua kuwa the guy has been killed, and it is only the matter of time before that...
Wanandugu salaam
Mimi ni kijana mtanzania ninasoma nipo chuo kikuu mwaka wa tatu sasa ninasoma miaka minne kwakweli hali yangu ta maisha imebadilika ninaelekea ku drop from studies kwani...
Kwanza kabisa nipende kuwapongeza watumishi wa umma wote,kwa uvumilivu kwa takribani miaka 3,wakiishi Bila nyongeza na upandishwaji madaraja yao.
Kesho ni Mei Mosi,watumishi wengi itakuwa ni siku...
Huyu mrembo anaitwa Doreen nimeangalia clip yake hapo. Ni muathirika wa Ukimwi wa kuzaliwa nao. Toka akiwa mdogo amekuwa akitumia dawa mpaka kukua approx. 25 years now.
Nimewaza kwa sauti wale...
Kwa mood ninayoiona week hii kuna mtu yupo kwenye good mood ukimfurahisha week hii hata u dc unapata aisee,na yale matayarisho yaliyofanyika week mbili ziliopita za wabunge wa ccm kukataa...
latangaza hasara zaidi
Saa 8 zilizopita
Shirika la taifa la safari za ndege nchini Kenya Kenya Airways(KQ) limetangaza kupata hasara ya kifedha mwaka uliopita kwa takriban $75m.
Hasara hiyo...
Habar zenu watu wa Mungu.
Hii inawahusu walio mijini... Naomba nishare na ninyi suala muhimu, leo nimebahatika kusali Kanisa la KKKT Usharika wa Majengo hapa Morogoro.
Baada ya mahubiri ambayo...
Duniani kuna mambo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia simulizi ya kutisha, ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Amina Mpindogani (59), ambaye anakiri kwamba kwa muda mrefu, amekuwa...
Kutoka na mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Arusha, kikosi cha uokoaji kikiongozwa na RPC kamishna Shana, kimefanikiwa kuokoa kijana mmoja aliekua amesombwa na maji.
Mzuqa,
Daudi Kanyau yuko wapi? Nakumbuka mwanzoni mwanzoni wa utawala wake jiwe alianza kiki na huyu jamaa alipokamatwa kwa kushtumiwa kiwa muuza madawa ya kulevya aliyekubuhu.
Kashahukumiwa...
Juzi nililala nikaona mtu amefika kunishindilia mgongoni nikaanza kutoa sauti ya kilio na mwezangu akaja kitandani pangu nakuniuliza kuna nini.na siku ya pili nimeshindia kuugulia kwa mgongo hadi...
Sitta matatani
Friday, 17 February 2012 21:42
0diggsdigg
Festo Polea
Mwananchi
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ameingia matatani baada ya Jeshi la...
Ile hospitali kuu ya vichaa pale Dodoma iitwayo Mirembe imejengwa siku nyingi sana.
Ningependa kujua ni kwanini hospitali hiyo sambamba na kile Kinyonge cha wahalifu vilijengwa pale Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.