TBC hawabadiliki: Serikali iruhusu live coverage za Private TV ktk matukio ya kitaifa

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,492
Aisee nipo na ka TV kangu naangalia hii kitu ya Mei Mosi kupitia ITV ambao wamejiunga na TBC, hizi picha nazoziona hapa utafikiri zimepigwa zama za Pontio Pilato! Watu wanaonekana kama masanamu tu! Poor images!

Serikali iache kutufanya kama watu tunaoishi enzi za Tipu tupu au enzi za utawala wa Chief Mangungo. Serikali iruhusu TV private kufanya live coverage as TBC wamefeli kabisa licha ya kukosolewa kila mara na hawataki kubadilika.



..........Update, ITV wamefanya live coverage, asante picha zinaonekana vizuri!
 
ITV wameshituka 😝😝😝 picha za TBC 1 zinawaonyesha watu wa mbeya kama walivyo weusi tiiii waje watukope rangi 😎
 
Hawa ng'ombe si ndio wana mgari wao walinunua bilioni 9,kwa ajili ya kazi za nje kama hizi!!!

Halafu kuna mjinga anakwambia sinunui dstv sababu hakuna local channel kama tbc1, kwakweli tunapishana sana katika vipaumbele.
 
Hivi mkurugenzi wao au wanaorusha matangazo huwa wanapata bahati ya kuona kinachoonekana kwenye tv yao?
 
Tatizo ni ukiritimba, waboreshe kamera na mitambo ya kurushia ili picha ziwe clear kama Dstv sports
 
Azam Two Wapo Live Bila chenga Video Quality At least sio kama "tiibiisii wani"
IMG_20190501_105034.jpeg
 
Back
Top Bottom