Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo (Mb), amewahakikishia Wakulima Nchini kuwa mbolea inapatikana kwa wingi na hakuna sababu ya kuwa na hofu kuhusu upatikanaji wake katika msimu unaoendelea wa...
Habari wadau
Kwa wakristo waliompokea Yesu kama neno linavyosema kwamba kufa chini ya 70 inaonekana sio mpenzi ya Mungu hasa maisha ya sasa ambayo RIP ZA vijana zimekuwa nyingi sana
Karibu tujadili
๐ท Kupitia Kongamano la Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi, Rais Samia anatarajiwa kuwasilisha fursa za kimkakati zilizopo katika sekta za nishati, kilimo, madini na miundombinu.
๐ท Kutunukiwa...
Habari,
Mimi ni mdau wa huduma za kifedha na napenda kuwasilisha changamoto inayowakabili wateja wa Benki ya NBC Tawi la Tunduma.
Kwa sasa, tawi hilo lina upungufu mkubwa wa watumishi, hususan...
Wateja wanaotaka simu latest mfano iPhone 17 kwakua hawana cash wanapeleka simu yao za zamani mfano iPhone 16 kisha wanaongezea hela naona kabisa hawako sawa kichwani
Yaani nikupe simu na...
Simple observation nilioifanya Naona watu wenye maarifa kiduchu na taarifa chache juu ya ulimwengu na hekaheka zake wanafuraha kuliko wasomi na wajuvi wa mambo.
Wao masuala kama YA Vita na...
Haijalishi wewe ni muislamu au mkristo, kama una imani yoyote inayoamini kwenye "Mungu" nina maswali hapo chini kwa ajili yako.
Kwanini Mungu anaruhusu watoto wazaliwe na changamoto za kiafya...
Habari,
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kishiriki cha Elimu DUCE, nasoma kozi ya Bachelor of Education with Education, tukiwa zaidi ya wanafunzi 100 tunaokabiliwa na changamoto...
Biblia inasema Mungu ni upendo, kama ilivyoandikwa katika 1 Yohana 4:8 โMungu ni upendo.โ Pia inaonyesha Mungu anaweza yote katika Mathayo 19:26.
Lakini kama Mungu ni wa upendo na anaweza yote...
Sisi wananchi wa Mtaa wa Ruhuwiko katika Manispaa ya Songea tunakabiliwa na changamoto kubwa ya vitendo vya wizi vinavyofanywa na vibaka ambao wamekuwa wakivamia maeneo yetu ya makazi mara kwa...
Chuo Cha KCMC kimetangaza rasmi kupitia CR wa wanafunzi udaktari (MD) mwaka wa nne kikiwataka kulipa ada ya semester ya pili ilihali bado wako semester ya kwanza na kinatishia kuwa hakitawaruhusu...
Nilifanya maombi yangu mwezi Februari 2026 na nikalipia gharama zote zinazohitajika kwa mujibu wa taratibu. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu bila kupata mrejesho, nilipofika kufuatilia niliambiwa...
Wasaalam wanajamvi na Watanzania wote kwa ujumla.
Mnamo tarehe 27.03.2026 majira ya saa 12:30 jioni ilitokea ajari ya gari katika Barabara ya jojiro iliyopelekea madaktari sita wa Hospitali ya...
Soko la Mkolani, Mwanza, upande wa nyuma ni wa kutisha kutokana na hali ya uchafu. Eneo la kutupia taka limejaa kupindukia hadi kufurika, hali inayosababisha harufu kali isiyovumilika.
Kinachotia...
Kuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila...