Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WanaJF, Uzi huu ni mahsusi kwa kutoa dukuduku na ushauri juu ya utendaji wa Mhimili wa Mahakama. Napenda niamini kwamba Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi, wao wenyewe au kwa kupitia wasaidizi wao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Lediz and Jentomen Leo koo linawasha nataka tu kuimba dada yenu. Naomba anayejua sehemu yenye karaoke kwa siku ya Ijumaa hapa jijini Daslam anijuze. Natanguliza shukrani
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Habarini ndugu zangu, natamani sana kufanya kazi kwenye makampuni yeyote ya simu kama voda, tigo, ttcl, airtel, or Zantel Nimeshapeleka cv zangu uko kote kwenye makampuni ila sijawai kuitwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
GTs, Imekuwa ni kawaida wanyama waharibufu wa mazao (mfano kwelea kwelea kuuawa) kwa kutumia sumu. Je hakuna njia mbadala ya kuwathibiti hawa wanyama waharibufu zaidi ya kuwaua kwa sumu? Nini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajukwaa, Mimi ni mtanzania mwanaume mwenye miaka 37. Nina mpango wa kwenda South Africa kuosha macho. Suala langu naomba kwa mzoefu anipe gharama ya nauli ya kwenda na kurudi na pesa ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna kila dalili ya kuwepo mgomo mkubwa sana wa wafanyakazi wa umma nchi nzima, ambao haukuwahi kutokea katika nchi hii tangu ipate uhuru, kufuatia serikali kushindwa kuwapandisha madaraja...
12 Reactions
162 Replies
19K Views
Hii kitu imekuwa Kama ndo mahali pa kutafuta Kiki, ndani ya siku 30 viongozi watano wa shirika la umeme wametumbuliwa na wanasiasa. Hii ni kwanini, au shirika la umeme ndo njia nzuri ya kupata...
0 Reactions
9 Replies
986 Views
Hii Serikali yetu sikivu sasa imeamua tufe kwa UKIMWI kabsa kwa kutunyima condom sijui kwa faida ya nani: Condom zilianza kuadimika mitaani kama masihara ila sasa ndo zimeadimika kabsa.. Kwa...
11 Reactions
130 Replies
14K Views
WAZIRI wa Nishati, Dk Merdad Kalemani amesema Serikali itatumia Sh bilioni 87 kwa ajili ya kupeleka umeme wa gridi mkoani Kigoma ukitokea Tabora na kwamba kazi hiyo itakamilika mwakani. Dk...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Nothing to add
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Jiwe kubwa (asteroid) lililopewa jina la Apobhis kupita karibu na dunia(flyby) mwaka 2029. Jiwe hilo liligundulika na Wanasayansi wa anga mwaka 2004 likiwa na takribani mita 340 za Kipenyo na...
3 Reactions
74 Replies
11K Views
Nimeikuta katika Jamii forum ya Nigeria (Nairaland) hii habari... Ina ukweli wowote au wanalishana uongo? Wengine wakienda mbali kutukana kuwa nchi ina majitu majinga n. k...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wanaitwaa KUNGURU ndege wenye uwezo wa kuongea zaidi ya kasuku Unaweza ukashangaa lakini ndio uhalisia kwamba kunguru wanapiga lugha vizuri Pia ni ndege wenye akili sanaa Kwa kingereza wanaitwa...
7 Reactions
47 Replies
9K Views
Wadau nashangazwa sana na kuwepo na madanguro kila kona ya jiji la dar es salaam kuanzia uwanja wa fisi, Mwananyamala hospitali, temeke sudani, Tandika etc. Tena kama mwananyamala ni mita 5...
3 Reactions
74 Replies
17K Views
Wengi tulizaliwa na kukulia katika maisha haya, wengine bado tunayaishi. Moshi wa kuni husababisha ukungu kwenye lens ya macho (cataract), lens isipobadilishwa husababisha upofu wa macho. Kama...
6 Reactions
10 Replies
46K Views
Habari wakuu Naishi chumba kimoja kisicho na upenyo wa kupitisha kitu chochote kuingia ndani,leo siku ya tatu nimekumbwa na tatizo la kukuta magamba ya samaki makavu kitandani,huwa sina mahusiano...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Mengi ameondoka na ndoto zake tatu kubwa Source: https://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Mengi-ameondoka-na-ndoto-zake-kubwa-tatu/1597296-5098414-yk5rv5z/index.html By Elizabeth Edward...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi amewaomba wafanya biashara nchini kutopandisha bidhaa mbalimbali kuelekea kipindi hiki cha mfungo wa ramadhani, huku akiwataka Waislamu wote kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, natumai wote mko poa. Shida yangu naomba kufahamishwa ikiwa kuna usafiri wa treni kuanzia Dar to Shinyanga na ni sh. ngapi na inachukua muda gani. Wassalam
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Niende kwenye mada moja kwa moja. Jana tumeshuhudia wafanyakazi walio wengi wakinung'unika kwa kutoongezewa mishahara na lawama zote zikielekezwa kwa mkuu wa nchi. Nami pia namuunga mkono rais...
1 Reactions
7 Replies
985 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…