Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kiherehere cha Kibonde katika ue-mc kimeharibu kazi nzuri iliyokuwa imeandaliwa na mc maarufu wa Arusha anayejulikana kama papa msofe! Ndio maana tukio la EL kutangaza nia likaonekana ni tukio...
2 Reactions
43 Replies
10K Views
Nilipewa end of contract last year, nikapeleka ofisini kwao wakasema ukae mwezi moja then ufungue madai nilifanya hivyo .on February 5 nikarudi kufungua madai nikaanza wakanipa form ya kujaza...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Local channels zimekaywa na bado tunalipa kama kawa, nani anaibiwa?
1 Reactions
3 Replies
935 Views
Serikali ya Tanzania imesema walimu hawapaswi kudai malimbikizo ya nyongeza ya mwaka ya mashahara kwa miaka ambayo nyongeza hiyo haikutolewa. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 10 bungeni na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mbeya. Baba mzazi wa Rose Japhet(6), mkazi wa Msewe, kata ya Igurusi-Mbarali, mkoani Mbeya na mfanyabiashara mmoja wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mtoto huyo ili...
2 Reactions
85 Replies
11K Views
Kutoka hotel ya Mount meru watalii waliotua nchini kutoka nchini China wakipata chakula cha usiku huku Mgeni rasmi akitarajiwa kufika wakati wowote kuanzia hivi sasa. Cha kushangaza hawa wachina...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Nyie mnaoshabikia kupigwa marufuku kwa mifuko ya plastiki,tutaona ndugu zenu watakuwa wanatapikia wapi wakiwa wanasafiri kuja mjini kuwatembelea..
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ikiwa leo ndio kilele cha maadhimisho ya siku ya Wauguzi na Wakunga duniani, msajili wa baraza la ukunga na uuguzi Tanzania (TNMC) amesema ya kwamba wanatarajia kushusha vigezo vya udahili ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Umofa kwenuuu!!! Miezi kama mitano iliyopita, ubavu wangu ulikatiza mitaa flani ya jiji la dsm katika harakati za kupambana na Vyuma, Mjasiliawizi mmoja akampiga roba na kukimbia na smartphone...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wananzengo Habari za Jumapili! Natoa wito kwa Serikali hasa mamlaka husika kwa kuangalia viwango vya vinywaji na vyakula kutoa tamko haraka na kupiga marufuku kabisa biashara ya Konyagi ya kupima/...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Nianze kwa kuwapongeza umoja wa mawakili "walioshinda" kesi juu ya wakurugenzi wa wilaya kusimamia uchanguzi huku waki simamia Katiba ibara ya 71 (14). Hakika wakurugenzi hawakupaswa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
niulize mimi chochote kuhusu tohara ya mwanaume. nitajibu maswali yenu zamu kwa zamu
1 Reactions
6 Replies
991 Views
Barabara inayotaka kona ya Mika (Rorya) hadi mpakani wa Kenya na Tanzania inayojengwa kwa kiwango cha lami ujenzi wake haujaisha zaidi ya 15 tangu uanze kujengwa. Mimi binafsi ninamlaumu Mhe...
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Habari wana JF Wake walioko huko Mkuu, Machame tunaomba mtupie picha tuone mazingira na shughuli ya msiba wa Mzee wetu R.A.M
7 Reactions
334 Replies
48K Views
KAMERA 10 kati ya 16 zinazotakiwa kufungwa kwenye Daraja la Juu la Mfugale eneo la Tazara jijini Dar es Salaam, zimeshafungwa hadi sasa. Kamera sita zilizobaki, zitafungwa wakati wowote, baada ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Huna la kujifunza hapa? Hii ndo sababu kuna nchi zimepiga marufuku ushahidi wa picha na Video maana Hakuna kisichowezekana kutengenezeka humo. Siwaaminishi Muamini kuwa si yeye ila nawakumbusha...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wafanyakazi zaidi ya 100 wa Kiwanda cha kutengeneza mafuta ya Alizeti cha Mount Meru Miller's kilichopo Njiro jijini Hapa,wameandamana Kiwandani hapo wakiwa na madai mbalimbali zikiwemo stahiki...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wadau hebu tulijadili hili inakuwaje Kenya imeipeleka serikali yetu ktk mahakama ya EAC juu ya ujenzi wa Barabara ktk mbuga ya Serengeti? kwani Mbuga ni yetu na ujenzi wa barabara ni kwa ajili ya...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380...
20 Reactions
159 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…