Mtandao wa Netflix waanzisha subtitle za Kiswahili, Wakenya wauponda kwa Kiswahili kibovu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
NetFlix ni mtandao wa ku stream show za television kama vile documentary na series

Netflix waliweka lugha ya Kiswahili kama moja ya lugha ambazo zipo kwenye subtitle ili mtazamaji mswahili asiyejua lugha husika basi anaweka hizo subtitle

Ila Kiswahili chenyewe ni kituko, maana kina makosa mengi, ndipo jirani zetu hapo wakawatolea uvivu Netflix



1099123


Hii ni tafsiri ya "Jesse, what the https://jamii.app/JFUserGuide is wrong with you? Jess please. Stop Jess

1099125


Na hii ni tafsiri ya " Dansom, is this rumour about you and Kim Kardashian true?"


Iliyonichekesha zaidi ni hii hapa kwenye series yangu pendwa ya Breaking Bad

"Your patner was late and high"

Ikatafsiriwa "Mpenzi wako alikuwa marehemu na alikuwa mkuu"





 
Vifurushi vyenyewe garama kama nini,,

Netflix ni kwa ajili ya wenye nazo aise
 
Wanatumia Google translation.
Wangetakiwa watumie watu wanaojua kiswahili na lugha husika .
 
Hapo wanalalamika wakenya, wakitaka kuajiri professionals watachukua wakenya mwisho wa siku sisi waTanzania tunabaki na Kiswahili chetu.
 
Sasa waki introduce Kiswahili kama lugha ya subtitle, inamaanisha ipo kwenye show zote

Wanachofanya sio kutafsiri kama unavyotafsiri kitabu, ni robot tu zinafanya kazi, ndio maana makosa mengi
Netflix waifanyie translation ya kiswahili Money heist na Narcos tuone uongo wao...
 
Mimi naona hivi viswahili vya mitandao bora waache vizungu tuu maana hatujui maneno wanayatolea wapi na ni magumu kuliko kiingereza sasa watu tumezoea password wao wanatuambia NYWILA , ni kabila gani linalotumia hilo jina?
 
Watanzania wengi ni kama hawajui kinachoendelea Duniani, sijui hii ni Nyerere effect ama ni nini
Dah huyo si Nyerere ni sisi tu dunia tuliojiweka ni tofauti mbona kuna watanzania wanajua Zari anakula nini leo ila kwenye vitu vya msingi ni zero. Kiukweli wakenya wanajitahidi kujihusisha na kujitangaza katika mambo ya msingi kimataifa ndio maana ukienda kwenye sites nyingi za kimataifa kwenye mambo yanayohusu EA wakenya ndo wachangiaji wakuu hata angalia organisation nyingi zikitaka kifungua office EA nyingi huenda Nairobi, hawa jamaa wanajitahidi kujitangaza na kujihusisha na mambo ya msingi. Ukweli ndo huo.
 
$11 kwa mwezi ni gharama??
Dola 11 Ni approximately kama 27,000/=
Kwa bundles za line ya chuo napata za gb 270
Naweza nika torrent content za Netflix za kuangalia miez mitatu
So yes it is expensive...
 
Back
Top Bottom