Kamishna wa kazi na Wizara ya uwekezaji mnafukuza wawekezaji

Janja PORI

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Messages
813
Points
225
Janja PORI

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2011
813 225
Ikiwa kila siku tunaona kilio Bungeni na TIC wakililia mazingira ya uwekezaji kuwa rahisi na kupunguza ukiritimba, bado tunaona kuna Wizara zinajitunguia miongozo inayo kinzana na Sheria iliyopitishwa na Bunge na kusababishia Ugumu kwa wawekezaji kupata vibali vya kazi au vya makazi.

Jana nimeona tangazo la Kamishina wa kazi kwamba kwa mwekezaji anayetaka kibali cha kazi ni lazima kusubmit Vyeti halisi na sio nakala. Binafsi kama mdau katika sekta ya uwekezaji Nchini naona tunajipiga risasi miguuni na kuleta mazingira magumu bila sababu, nasema hivi kwa sababu zifuatazo
i) Sheria ya vibali vya kazi imetamka mahitaji ya mwekezaji anapoomba kibali cha kazi, sheria inasema certified copies ( nakala ya vyeti husika) sasa leo tunaona Kamishna anajitungia miongozo yake kwa kusema lazima kuwe na Vyeti Original

2) Sheria ya Uhamiaji na ya Vibali vya Kazi zinatamka wazi kwamba lazima maombi ya vibali yafanyike mwekezaji au mwajiriwa akiwa nje ya nchi, sasa unajiuliza nini maana ya kuwa na online system kama bado utamtaka mtu asafiri mfano toka Marekani kuleta vyeti halisi Dodoma ? ama nani ambaye yupo razi kutuma vyeti vyake nchini wakati hana uhakika wa kupata hicho kibali??

3) Unakuta mtu ana mtaji wa dola million 1 anataka kuwekeza nchini anaomba kibali cha kazi Class A, bado mnamuomba vyeti vya shule, nani kawaambia wawekezaji wote wameenda shule, mbona wafanyakazi tumekariri sana jamaniii.

OMBI LA HARAKA

Waziri wa uwekezaji naomba tumia mamlaka yako kufuta huu mwongozo mpya mnazidi kufukuza wawekezaji na kusababisha mazingira kuwa magumu ya kuwekeza nchini.
 
Attachments:

Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Messages
6,709
Points
2,000
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2015
6,709 2,000
Nchi masikini tuna mawazo ya kimasikini sana yaani muwekezaji mnamuomba vyeti vya shule? shule na uwekezaji vinahusiana nini hapo...kwa hiyo mwekezaji akiwa na mtaji hana vyeti ana kasoro? Kwani anakuja kusoma..
 
Wissman

Wissman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2014
Messages
969
Points
1,000
Wissman

Wissman

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2014
969 1,000
kuna demand ya vitu vingi visivyo na tija katika nchi hii. Wengi wa viongozi wetu hawana uelewa wa sheria wanajikuta wanafanya maamuzi ambayo yanaligharimu taifa hili kwa kiasi kikubwa. wakati raisi anataka kuweka mazingira bora ya uwekezaji watendaji wake bado wamekalia ukiritimba na kanuni zisizo na tija.
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
15,226
Points
2,000
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
15,226 2,000
Nchi masikini tuna mawazo ya kimasikini sana yaani muwekezaji mnamuomba vyeti vya shule? shule na uwekezaji vinahusiana nini hapo...kwa hiyo mwekezaji akiwa na mtaji hana vyeti ana kasoro? Kwani anakuja kusoma..
Bakhresa shule ya msingi hakumaliza kawekeza nchi kibao.Cheti cha kuimaliza elimu ya msingi tu hana sababu hakumaliza
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,679
Points
2,000
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,679 2,000
Masharti haya kweli yanakinzana na kauli mbiu ya Mh. Rais ya kuwekeza nchini, lazima tuweke mazingira bora na masharti nafuu ya kumvutia mwekezaji, kamishna wa kazi awe makini, ataharibu uwekezaji nchini sasa hv
 
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,383
Points
2,000
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,383 2,000
Kwa sheria kama hizi, naona dhahiri Rais hasaidiwi vyema na wasaidizi wake
Huu ni upumbafu hao ndio wanamuharibia sana Jamaa, wanamdanganya Sana mkuu wa nchi kwa style hii

Hivi nani hapa Tanzania tajiri amesoma sana, Hao wakinga kariakoo wamesoma professional certification
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
15,226
Points
2,000
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
15,226 2,000
kuna demand ya vitu vingi visivyo na tija katika nchi hii. Wengi wa viongozi wetu hawana uelewa wa sheria wanajikuta wanafanya maamuzi ambayo yanaligharimu taifa hili kwa kiasi kikubwa. wakati raisi anataka kuweka mazingira bora ya uwekezaji watendaji wake bado wamekalia ukiritimba na kanuni zisizo na tija.
Passport kwa mzawa kuomba pia mgogoro unaombwa upeleke sijui barua ya mwaliko nk Mtafuta fursa hahitaji barua ya mwaliko kupata passport.Documents wanazodai ni zile unazotakiwa kupeleka ubalozi wa nchi zingine ili upate Visa!!!! Kenya , Uganda,Rwanda passport zinatolewa kirahisi wanajaa Tanzania kutafuta fursa sisi tinakomalia watu wetu kuwapa passport kwa masharti mazito utafikiri mtu anaenda uhamiaji kuomba Visa .Mtu akiwa na kitambulisho cha taifa mpe passport mengine mwache kama ni visa akapambane huko mwenyewe kwenye Balozi.Kuna tatizo mahali au ni kuhujumu serikali isipendwe na wawekezaji au wananchi.Passport haihitaji kadi ya mwaliko passport sio ya kitchen party au send off.Mtu anatakiwa kuwa nayo fursa ikitokea anaondoka zake chap chap.Kitengo cha passport wako nyuma sana mfano mtu akiomba scholarship kuna sehemu lazima ujaze namba ya passport yako.Sasa mtu hana passport atajaza nini? Akienda kuomba anaambiwa mambo ya akalete barua ya mwaliko ya huko anakoenda ili apewe passport!!!!!!!! Anaenda wapi yeye anajaza form ya kuomba scholarship kuna eneo la kujaza anatakiwa ajaze passport namba sasa barua ya mwaliko unaitaka anatoa wapi? Pia mitihani kama ya British council nk ukitaka kuifanya online kuna sehemu za kujaza online ambapo lazima ujaze passport namba.Uhamiaji wao wanaamini passport ni kwa ajili ya msafiri anayeenda nje tu na mwenye barua ya mwaliko hard copy!!!!! Kuna nafasi za kazi nje ya nchi ukiomba online kuna sehemu za kujaza passport namba sasa kumdai mtu kama huyu akupe barua ya mwaliko ndio umpe passport hivi anatoa wapi? Yeye anataka awe nayo imsaidie kuomba kazi online.Very very very sad.Uhamiaji wanaishi enzi wanazojua wenyewe hasa kwenye issue ya utoaji passport.Nadhani enzi za mawe Yaani stone age!!!
 
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,383
Points
2,000
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,383 2,000
Passport kwa mzawa kuomba pia mgogoro unaombwa upeleke sijui barua ya mwaliko nk Mtafuta fursa hahitaji barua ya mwaliko kupata passport.Documents wanazodai ni zile unazotakiwa kupeleka ubalozi wa nchi zingine ili upate Visa!!!! Kenya , Uganda,Rwanda passport zinatolewa kirahisi wanajaa Tanzania kutafuta fursa sisi tinakomalia watu wetu kuwapa passport kwa masharti mazito utafikiri mtu anaenda uhamiaji kuomba Visa .Mtu akiwa na kitambulisho cha taifa mpe passport mengine mwache kama ni visa akapambane huko mwenyewe kwenye Balozi.Kuna tatizo mahali au ni aihukumu kuhujumu serikali isipendwe na wawekezaji au wananchi.Passport haihitaji kadi ya mwaliko passport sio ya kitchen party au send off.Mtu anatakiwa kuwa nayo fursa ikitokea anaondoka zake chap chap.Kitengo cha passport wako nyuma sana mfano mtu akiomba scholarship kuna sehemu lazima ujaze namba ya passport yako.Sasa mtu hana passport atajaza nini? Akienda kuomba anaambiwa mambo ya akalete barua ya mwaliko ya huko anakoenda ili apewe passport!!!!!!!! Anaenda wapi yeye anajaza form ya kuomba scholarship kuna eneo la kujaza anatakiwa ajaze passport namba sasa barua ya mwaliko unaitaka anatoa wapi? Pia mitihani kama ya British council nk ukitaka kuifanya online kuna sehemu za kujaza online ambapo lazima ujaze passport namba.Uhamiaji wao wanaamini passport ni kwa ajili ya msafiri anayeenda nje tu na mwenye barua ya mwaliko hard copy!!!!! Very very very sad.Uhamiaji wanaishi enzi wanazijua wenyewe hasa kwenye issue ya utoaji passport.Nadhani enzi mawe Yaani stone age!!!
Tatizo wenye akili wapo mitaani, Mambo ya kupachika mtoto wa mjomba kilaza ndio Madhara yake

Hivi mtu smart hata darasa la tano akielekezwa anafanya kazi hizo

Tatizo hao maofisini wamejigeuza polisi wa kutisha watu kumbe wanatoa huduma
 
J

jani

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Messages
627
Points
1,000
J

jani

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2011
627 1,000
Hizi ndizo Athari za kuweka unquantified personnel makazini
mfanya maamuzi alisoma hapa nchini.....kwa kukariri inapobidi.......akafanya kazi hapa nchini.....sasa mnapomtaka afikiri sana mnakua mnampa mzigo mzito ambao ki msingi....hakufundishwa darasani! haha
 
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Messages
6,709
Points
2,000
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2015
6,709 2,000
Yehodaya leo nimekuelewa Mkuu umeongea vitu vya msingi sana...yaani passport inawafanya Watanzania wengi wanaendelea kuwa masikini kwa sababu ya kunyimana fursa rahisi na hawajui mtu akipata huko nje analeta nyumbani tunazidiwa na Waganda wao kupata passport na kusafiri ni vitu rahisi kupita maelezo sema muda mwingine wanashangaza kama sasa wanahitaji vyeti vya shule kwa wawekezaji aisee...
 
M

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
5,894
Points
2,000
M

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
5,894 2,000
Ikiwa kila siku tunaona kilio Bungeni na TIC wakililia mazingira ya uwekezaji kuwa rahisi na kupunguza ukiritimba, bado tunaona kuna Wizara zinajitunguia miongozo inayo kinzana na Sheria iliyopitishwa na Bunge na kusababishia Ugumu kwa wawekezaji kupata vibali vya kazi au vya makazi.

Jana nimeona tangazo la Kamishina wa kazi kwamba kwa mwekezaji anayetaka kibali cha kazi ni lazima kusubmit Vyeti halisi na sio nakala. Binafsi kama mdau katika sekta ya uwekezaji Nchini naona tunajipiga risasi miguuni na kuleta mazingira magumu bila sababu, nasema hivi kwa sababu zifuatazo
i) Sheria ya vibali vya kazi imetamka mahitaji ya mwekezaji anapoomba kibali cha kazi, sheria inasema certified copies ( nakala ya vyeti husika) sasa leo tunaona Kamishna anajitungia miongozo yake kwa kusema lazima kuwe na Vyeti Original

2) Sheria ya Uhamiaji na ya Vibali vya Kazi zinatamka wazi kwamba lazima maombi ya vibali yafanyike mwekezaji au mwajiriwa akiwa nje ya nchi, sasa unajiuliza nini maana ya kuwa na online system kama bado utamtaka mtu asafiri mfano toka Marekani kuleta vyeti halisi Dodoma ? ama nani ambaye yupo razi kutuma vyeti vyake nchini wakati hana uhakika wa kupata hicho kibali??

3) Unakuta mtu ana mtaji wa dola million 1 anataka kuwekeza nchini anaomba kibali cha kazi Class A, bado mnamuomba vyeti vya shule, nani kawaambia wawekezaji wote wameenda shule, mbona wafanyakazi tumekariri sana jamaniii.

OMBI LA HARAKA

Waziri wa uwekezaji naomba tumia mamlaka yako kufuta huu mwongozo mpya mnazidi kufukuza wawekezaji na kusababisha mazingira kuwa magumu ya kuwekeza nchini.
Hapo kuna hoja ya msingi. Yes. Kuhakiki vyeti original suala lisilokwepeka. (MUST). Ila pengine njia mbili inaweza kutumika.
1.Kupitia Balozi zetu uhakiki wa awali wa Vyeti vya mwombaji ufanyike huko.
2.Wakati mwaombaji anapoanza kazi lazima aje na Cheti original. Na kama itagungulika ni feki baada ya uhakiki wa undani zaidi basi apewe muda usiozidi miezi Mitatu kuwa hapa nchini na baada ya hapo Kibali kifutwe.
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
15,226
Points
2,000
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
15,226 2,000
Yehodaya leo nimekuelewa Mkuu umeongea vitu vya msingi sana...yaani passport inawafanya Watanzania wengi wanaendelea kuwa masikini kwa sababu ya kunyimana fursa rahisi na hawajui mtu akipata huko nje analeta nyumbani tunazidiwa na Waganda wao kupata passport na kusafiri ni vitu rahisi kupita maelezo sema muda mwingine wanashangaza kama sasa wanahitaji vyeti vya shule kwa wawekezaji aisee...
Uhamiaji hawaelewi umuhimu wa passport na uwezo wake wa kuingiza pesa za kigeni nchini.Vijana wengi sasa hivi kazi hawana wakenya na waganda wako nje ya nchi wengi na kuingiza pesa nyingi za kigeni sababu huomba scholarships sana na kazi nje ya nchi online na ndio maana wengi hufanikiwa.Akishapata scholarships au kazi pesa ya kigeni tayari inaanza kuingia mkononi na kwa nchi yake..Pili passport peke yake ingeweza kuiingizia serikali mabilioni ya pesa chukulia passport zikitolewa milioni Mbili tu kwa shilingi laki Moja unusu kwa Kila passport serikali ingeingiza bilioni 300.Lakini kwa masharti waliyoweka gharama za kufunga hiyo mitambo ya passport za kisiasa zinaweza zisirudi.Ieleweke kuwa teknlojia inabadilika haraka mno watakuja jikuta teknlojia imebadilika wanatakiwa wafunge mitambo mingine ya passport wakati hiyo iliyopo wakajikuta haijarudisha pesa.Mtambo umefungwa wa kutoa passport toa passport chap chap gharama za huo mtambo zirudi zifanye mambo mengine.Ugumu wa kutoa passport sio sifa ni kuhujumu urejeshaji wa pesa iliyotumika kufunga hiyo mitambo Wataalamu nendeni mpige Hesabu passport ngapi zimetolewa za shilingi ngapi na kwa spidi iliyopo ya utoaji passport pesa za mradi wa mashine za passport zitarudi baada ya miaka mingapi kwa spidi hiyo? Na Je hiyo teknlojia itakuwa bado ipo?. Vitambulisho vya taifa iko haja waunganishwe na Kitengo cha passport kuwa mtu akipewa kitambulisho cha taifa apewe na passport kama anataka.Passport kwa Karne ya sasa si tu ni kwa ajili ya kusafiri tu bali ni kitambulisho cha kimataifa cha mtu kutambuliwa na nchi zingine .Ni kitambulisho cha kawaida tu ila chenyewe ni cha kimataifa.Mentality ya kuwaza kuwa passport ni document ya kusafiria imepitwa na wakati.Mtu anatakiwa kuwa na vitambulisho viwili cha ndani ambacho ni kitambulisho cha taifa na passport ambacho ni kitambulisho cha kimataifa.Mimi ningekuwa mtoa passport ningehakikisha Kila wiki natoa passport sio chini ya laki tano.Wafanyakazi wote raia ,wanavyuo,na wote wenye vitambulisho vya taifa ningewapelekea vituo vya passport kwenye ofisi za serikali za mitaa wanakoishi kuwapa wote wanaohitaji.Eneo la passport ni biashara nzuri ambayo serikali ingepata pesa nyingi
 
C

Commander In Chief

Member
Joined
May 12, 2019
Messages
5
Points
45
C

Commander In Chief

Member
Joined May 12, 2019
5 45
Passport kwa mzawa kuomba pia mgogoro unaombwa upeleke sijui barua ya mwaliko nk Mtafuta fursa hahitaji barua ya mwaliko kupata passport.Documents wanazodai ni zile unazotakiwa kupeleka ubalozi wa nchi zingine ili upate Visa!!!! Kenya , Uganda,Rwanda passport zinatolewa kirahisi wanajaa Tanzania kutafuta fursa sisi tinakomalia watu wetu kuwapa passport kwa masharti mazito utafikiri mtu anaenda uhamiaji kuomba Visa .Mtu akiwa na kitambulisho cha taifa mpe passport mengine mwache kama ni visa akapambane huko mwenyewe kwenye Balozi.Kuna tatizo mahali au ni kuhujumu serikali isipendwe na wawekezaji au wananchi.Passport haihitaji kadi ya mwaliko passport sio ya kitchen party au send off.Mtu anatakiwa kuwa nayo fursa ikitokea anaondoka zake chap chap.Kitengo cha passport wako nyuma sana mfano mtu akiomba scholarship kuna sehemu lazima ujaze namba ya passport yako.Sasa mtu hana passport atajaza nini? Akienda kuomba anaambiwa mambo ya akalete barua ya mwaliko ya huko anakoenda ili apewe passport!!!!!!!! Anaenda wapi yeye anajaza form ya kuomba scholarship kuna eneo la kujaza anatakiwa ajaze passport namba sasa barua ya mwaliko unaitaka anatoa wapi? Pia mitihani kama ya British council nk ukitaka kuifanya online kuna sehemu za kujaza online ambapo lazima ujaze passport namba.Uhamiaji wao wanaamini passport ni kwa ajili ya msafiri anayeenda nje tu na mwenye barua ya mwaliko hard copy!!!!! Kuna nafasi za kazi nje ya nchi ukiomba online kuna sehemu za kujaza passport namba sasa kumdai mtu kama huyu akupe barua ya mwaliko ndio umpe passport hivi anatoa wapi? Yeye anataka awe nayo imsaidie kuomba kazi online.Very very very sad.Uhamiaji wanaishi enzi wanazojua wenyewe hasa kwenye issue ya utoaji passport.Nadhani enzi za mawe Yaani stone age!!!
Mkuu umeongea kitu cha maana sana. Nashindwa kufanya michongo yangu ya maana sababu passport sina kisa sina kiambatanisho cha mualiko kutoka nje ya nchi.
Its a shame kama hali itaendelea kuwa hivi.
Salute kwako mkuu kwa hoja nzuri sana.
 
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
3,953
Points
2,000
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
3,953 2,000
Ikiwa kila siku tunaona kilio Bungeni na TIC wakililia mazingira ya uwekezaji kuwa rahisi na kupunguza ukiritimba, bado tunaona kuna Wizara zinajitunguia miongozo inayo kinzana na Sheria iliyopitishwa na Bunge na kusababishia Ugumu kwa wawekezaji kupata vibali vya kazi au vya makazi.

Jana nimeona tangazo la Kamishina wa kazi kwamba kwa mwekezaji anayetaka kibali cha kazi ni lazima kusubmit Vyeti halisi na sio nakala. Binafsi kama mdau katika sekta ya uwekezaji Nchini naona tunajipiga risasi miguuni na kuleta mazingira magumu bila sababu, nasema hivi kwa sababu zifuatazo
i) Sheria ya vibali vya kazi imetamka mahitaji ya mwekezaji anapoomba kibali cha kazi, sheria inasema certified copies ( nakala ya vyeti husika) sasa leo tunaona Kamishna anajitungia miongozo yake kwa kusema lazima kuwe na Vyeti Original

2) Sheria ya Uhamiaji na ya Vibali vya Kazi zinatamka wazi kwamba lazima maombi ya vibali yafanyike mwekezaji au mwajiriwa akiwa nje ya nchi, sasa unajiuliza nini maana ya kuwa na online system kama bado utamtaka mtu asafiri mfano toka Marekani kuleta vyeti halisi Dodoma ? ama nani ambaye yupo razi kutuma vyeti vyake nchini wakati hana uhakika wa kupata hicho kibali??

3) Unakuta mtu ana mtaji wa dola million 1 anataka kuwekeza nchini anaomba kibali cha kazi Class A, bado mnamuomba vyeti vya shule, nani kawaambia wawekezaji wote wameenda shule, mbona wafanyakazi tumekariri sana jamaniii.

OMBI LA HARAKA

Waziri wa uwekezaji naomba tumia mamlaka yako kufuta huu mwongozo mpya mnazidi kufukuza wawekezaji na kusababisha mazingira kuwa magumu ya kuwekeza nchini.
Nenda marekani ndo utajua, sio original, hapa, vitumwe na chuo vikiwa sealed....
 
Forum statistics

Threads 1,294,203
Members 497,843
Posts 31,168,166
Top