Vita vya Marekani na Iran

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
402
539
Hivi juzi kati marekani wamepeleka carrier strike group pamoja na bombers na hata Rais Trump alisikika akisema akilazimika atatuma wanajeshi zaidi ya laki moja.Sasa hapo IRAN hana jinsi ila kuwa mpole.Maana uwezo wa kupambana na Marekani.wachambuzi wa siasa wa bala la ulaya wamekuwa wakisema bwana Trump ndio ilikuwa lengo lake kumbana IRAN katika kona.Hapo sisi tunaangalia tu lakini pande zote mbili zisije sababisha vita vya dunia vya tatu tu!
 
Nilisikia habari ya ayatolla kemenei akisema hawataki vita na Marekani
 
Nilisikia habari ya ayatolla kemenei akisema hawataki vita na Marekani
si wanajua hawawezi kushinda ndio maana,ila makamanda wa iran ndio wanachochea vita kuna generali mmoja wa iran alisikika akisema kwamba iran itaangamiza Israel pamoja na vikosi vyote kwa Marekani mashariki ya kati ndani ya siku moja.
 
Hayo ni maneno tu, juzijuzi tu Israel ilishambulia vituo vya iran vilivyopo Syria lakini iran aliishia kusema Israel ikishambulia ndani ya ardhi yetu tutaifuta kwenye uso wa dunia
 
Hayo ni maneno tu, juzijuzi tu Israel ilishambulia vituo vya iran vilivyopo Syria lakini iran aliishia kusema Israel ikishambulia ndani ya ardhi yetu tutaifuta kwenye uso wa dunia
na Israel saa hivi anamsubiria tu Marekani alianzishe na yeye aingie iran
 
Iran hana rafiki kati ya jirani zake maana last week alilipua meli ya Oman
Nchi zinazomzunguka zina mchukia
 
Iran watapata kipigo cha Mbwakoko, waache wasogee

Tukitoka hapo tunapiga wale wamiliki wa Air Koryo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom