Eti nyie wa Bongo movies na BongoFlava Na hili mnasubiri na Hili Ulaya waanze?!


A

Ashelimo

Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
50
Points
95
A

Ashelimo

Member
Joined Jul 31, 2015
50 95
Santuri, Kaseti floppy, CD na sasa DVD na USB flash ndio njia ambazo kazi ya Sanaa zimekuwa zimekuwa zikiuzwa na kuhifadhiwa. Japo
hizo za mwanzo zimepitwa na wakati

Shukrani kwa wenzetu wa Ulaya na Asia kwa tecnoloja Hizo.

Hivi kwa mfano yani Mkaja na Flash simple ambazo zinasecurity ambayo itamfanya mtu asiweze kunakili au ku share mkawa mnatuuzia kazi zenu humo. Imekaa vipi? Hiyo nadhani imekaa vyema au sio?

Ma CD yanaharabika haribika, Inakuwa ngumu kutunza, Hata jirani akiomba akatazame kwake unaona noma kumuachia kwa sababu hujui ubora wa DVD player yake, Isije ikaharibu DVD zako

Kama kugundua hatuwezi, Je tukiwa wa kuwanza tu kuuambia ulimwengu kuwa soko la Sanaa na USB flash linawezekana na hiyo tunashindwa?

Aaah bwana Msizingue katika hili. Tuuonyeshe tu ulimwengu kuwa kama kugundua hatuwezi lakini kwenye kwenda na wakati tupo na hatujaachwa nyuma
 
Dharra

Dharra

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2017
Messages
1,220
Points
2,000
Dharra

Dharra

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2017
1,220 2,000
mkuu kuna Zaidi encrypted software 10 za kuweza kufungua USB technologia kwa sasa Technology imeenda mbali Zaidi mpaka mtu anaweza ku crack password ya ATM card yako na kukuibia hela bank, kikubwa hapa ni kufanya kazi bora na kisha kutafuta managers ambao utawauzia kazi yako pale pale na yeye umuachie kazi ya ku distribute. wewe unachukua chako mapema unamuacha yeye anahangaika kuuza labda hivyo
 
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
3,461
Points
2,000
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
3,461 2,000
Haya mambo yanahitaji chemistry ya hali ya juu, kwa ujuvi gani walionao hadi wagundue hizo mambo? wabongo tuukubari tu ukweli kuwa elimu yetu ibaki kuwa ya vyeti kama vya bashite, lkn kiuhalisia haisadii hata kidogo ktk maisha yetu ya kila siku.
 

Forum statistics

Threads 1,294,192
Members 497,843
Posts 31,167,683
Top