Huduma ya channel kwenye startimes, Startimes watoa angalizo

Godfrey1212

New Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Wadau kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za azam ziko package 3 na za dstv ziko 209 popote ulipo nakupa huduma
72daab387809775a82cae53bc4dc95e3.jpg

=====

UFAFANUZI

=====

Habari zenu!

Startimes tunapenda Kuwataadharisha watumiaji wa ving'amuzi vyetu kuwa huduma kama hii na nyingine zinazofanana na hizi si za kweli na zinaudanganyifu ndani yake, tafadhari epukana nazo.

Kama unahitaji huduma yoyote toka Startimes tafadhari tembelea maduka yetu, au piga namba zetu za huduma kwa wateja 0764700800 au 0677700800
 
Hahaaaa afadhari umewahi aiseee jamaa anataka kutapeli mchana
Habari zenu!

Startimes tunapenda Kuwataadharisha watumiaji wa ving'amuzi vyetu kuwa huduma kama hii na nyingine zinazofanana na hizi si za kweli na zinaudanganyifu ndani yake, tafadhari epukana nazo.

Kama unahitaji huduma yoyote toka Startimes tafadhari tembelea maduka yetu, au piga namba zetu za huduma kwa wateja 0764700800 au 0677700800
 
Acha utapeli mpumbavu ww, fanya kazi
Wadau kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za azam ziko package 3 na za dstv ziko 209 popote ulipo nakupa huduma.
72daab387809775a82cae53bc4dc95e3.jpg
 
Habari zenu!

Startimes tunapenda Kuwataadharisha watumiaji wa ving'amuzi vyetu kuwa huduma kama hii na nyingine zinazofanana na hizi si za kweli na zinaudanganyifu ndani yake, tafadhari epukana nazo.

Kama unahitaji huduma yoyote toka Startimes tafadhari tembelea maduka yetu, au piga namba zetu za huduma kwa wateja 0764700800 au 0677700800
Rudisheni local channels nitawaelewa!
 
Wadau kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za azam ziko package 3 na za dstv ziko 209 popote ulipo nakupa huduma
72daab387809775a82cae53bc4dc95e3.jpg

=====

UFAFANUZI

=====
Safi mkuu endelea kuzigawa, kwasababu hawa startimes wana majivuno sana
 
Habari zenu!

Startimes tunapenda Kuwataadharisha watumiaji wa ving'amuzi vyetu kuwa huduma kama hii na nyingine zinazofanana na hizi si za kweli na zinaudanganyifu ndani yake, tafadhari epukana nazo.

Kama unahitaji huduma yoyote toka Startimes tafadhari tembelea maduka yetu, au piga namba zetu za huduma kwa wateja 0764700800 au 0677700800
[/QUOTnanyinyi muache wizi mmeambiwa local channels zote Ni bure bado mnalipisha Tu!
 
Habari zenu!

Startimes tunapenda Kuwataadharisha watumiaji wa ving'amuzi vyetu kuwa huduma kama hii na nyingine zinazofanana na hizi si za kweli na zinaudanganyifu ndani yake, tafadhari epukana nazo.

Kama unahitaji huduma yoyote toka Startimes tafadhari tembelea maduka yetu, au piga namba zetu za huduma kwa wateja 0764700800 au 0677700800
nanyi local channels muachie bure maana mnatuibia wananchi hamna tofauti Na huyo Jamaa anayewatapel watu
 
Channel za nyumbani tunazitaka aisee nyie bakini na nekledon na wenzao
 
Habari zenu!

Startimes tunapenda Kuwataadharisha watumiaji wa ving'amuzi vyetu kuwa huduma kama hii na nyingine zinazofanana na hizi si za kweli na zinaudanganyifu ndani yake, tafadhari epukana nazo.

Kama unahitaji huduma yoyote toka Startimes tafadhari tembelea maduka yetu, au piga namba zetu za huduma kwa wateja 0764700800 au 0677700800
Janel za bure ndani mmeambiwa muonyeshe bure mbona bado hamfanyi hivyo
 
nanyi local channels muachie bure maana mnatuibia wananchi hamna tofauti Na huyo Jamaa anayewatapel watu

Habari yako kabwigwa pole sana kwa usumbufu unaoupata

Startimes tuna ving'amuzi vya aina mbili cha kwanza ni "FTA decoder" bei ya king'amuzi hiki ni Shilingi 89,000, ukiwa na king'amuzi hiki utafurahia chaneli zote za ndani bure kwa muda wote, hii ni kwa mujibu wa sheria na muongozo toka kwa mamlaka husika ikiwemo TCRA.

Kutokana na gharama ya 89,000 kuonekana kubwa na watu wengi kushindwa kuimudu, na ili kuhakikisha kila mtanzania anafurahia huduma ya Television bila kujali uwezo wake startimes kwa kuzingatia maombi na pia maoni toka wa wateja iliamua kupunguza bei ya ving'amuzi na kuwa na kingamuzi chenye bei maalumu, startimes ikaweka ving'amuzi vyenye bei maalumu 'STARTIMES SUBSDIZED DECODER', bei yake ni bei ya chini kulinganisha na bei ya soko (unalipia shilingi 34,000 kupata king'amuzi hiki, hii 34,000 ni hela ya huduma tu) , lengo kubwa ni kuhakikisha mteja anapata na king'amuzi kwanza. kupitia king'amuzi hiki mteja analipia gharama ya huduma tu ambayo anaweza kulipia kwa siku, wiki au mwezi ili kupata chanel za ndani na chaneli za nje.

Lakini baadae mteja mwenye king'amuzi hiki 'SUBSDIZED DECODER' akipata fedha anaweza kukibadilisha kuwa king'amuzi cha FTA, mteja anaweza kukibadilisha kwa kufika katika duka letu la startimes lililo karibu yake na kulipia 'PRICE DIFFERERENCE' (Tofauti ya bei kati ya SUBSDIZED Decoder na FTA Decoder) yaani 89,000-34,000 ambayo ni 55,000. ukifanya hivyo utakuwa sawa na aliyenunua king'amuzi cha FTA utafurahia chanel zote za ndani bure muda wote.

Startimes tumekuwa tukijitahidi kuwaeleza wateja wetu kabla hawajanunua ving'amuzi vyetu, tofauti ya ving'amuzi hivyi ili kumpa nafasi mteja kufanya chaguo sahihi, lakini tumekuwa tunapata changamoto nyingi sokoni kwani mawakala na maagenti wetu wengi hawatoi taarifa hizi kwa wateja ipasavyo. Tafadhahari tunaomba radhi kwa usumbufu wowote ulioupata kama hukupata maelezo haya, Pia tunakukaribusha katika duka la startimes kwa ajili ya kubadilisha king'amuzi chako kuwa cha FTA. Startimes tutaendelea kufuata sheria na mwongozo toka kwa mamlaka husika

Ahsante!
 
Back
Top Bottom