Gazeti la Mtanzania kusitishwa kuanzia Mei 20, 2019 ili kupisha marekebisho

Shigganza

Shigganza

Senior Member
Joined
May 24, 2018
Messages
117
Points
500
Shigganza

Shigganza

Senior Member
Joined May 24, 2018
117 500
Kampuni ya New habari (2016) Limited imetangaza kusisitisha uzalishaji wa gazeti la Mtanzania kuanzia jumatatu ya wiki ijayo mei 20, 2019 hadi juni 20, 2019 kutokana na mabadiliko makubwa ya muundo yanayoendelea kutoka print kwenda digitali. Uamuzi huo umefikiwa baada ya kampuni hiyo kubadili mfumo na uendeshaji na kwamba gazeti hilo sasa litapatikana kwa njia ya digitalis kwa kipindi hicho chote.

img_1764-jpg.1098032

Soma pia:

fred mwakitundu

fred mwakitundu

Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
77
Points
150
fred mwakitundu

fred mwakitundu

Member
Joined Dec 31, 2018
77 150
UCHUMI WETU UNAKUA KWA KASI ,TUJIPE MUDA UCHUMI UTAKUWA ZAIDI NA ZAIDI NA AJIRA ZITAONGEZEKA,SHIKAMOO TANZANIA
 
radiation

radiation

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Messages
217
Points
250
radiation

radiation

JF-Expert Member
Joined May 28, 2013
217 250
KAMPUNI ya New Habari (2006) Ltd, imesema kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo itasitisha uzalishaji wa gazeti la MTANZANIA kuanzia Mei,20 hadi Juni 20, mwaka huu kutokana na mabadiliko makubwa ya muundo yanayoendelea.

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa kampuni hiyo Dar es Salaam jana, ilisema uamuzi huo umefikiwa baada ya kampuni kubadili muundo na uendeshaji na kwamba gazeti hilo sasa litapatikana kwa njia ya digitali kwa kipindi chote hicho.

“Kampuni inautangazia umma na wateja wake kuwa hivi sasa kampuni inabadili muundo wa uendeshaji na uzalishaji, pia kubadili mwelekeo kutoka ‘print’ kwenda digital, hatua hiyo itaendana pia na kupunguza wafanyakazi.

“Ili kuendana na mabadiliko ya biashara, tunapenda kuutangazia umma kuwa kuanzia Jumatatu Mei 20. 2019 gazeti la MTANZANIA halitakuwa likichapishwa kwa kipindi cha mwezi mmoja, hivyo uzalishaji utarajea baada ya mwezi mmoja,”ilisema taarifa hiyo.
 
dafity

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Messages
1,700
Points
2,000
dafity

dafity

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2008
1,700 2,000
Kumbe ni mwezi mmoja tu? Naona wanapima upepo. Ila fani ya habari lazima wahusika wawe na plan B ya maisha
KAMPUNI ya New Habari (2006) Ltd, imesema kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo itasitisha uzalishaji wa gazeti la MTANZANIA kuanzia Mei,20 hadi Juni 20, mwaka huu kutokana na mabadiliko makubwa ya muundo yanayoendelea.

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa kampuni hiyo Dar es Salaam jana, ilisema uamuzi huo umefikiwa baada ya kampuni kubadili muundo na uendeshaji na kwamba gazeti hilo sasa litapatikana kwa njia ya digitali kwa kipindi chote hicho.

“Kampuni inautangazia umma na wateja wake kuwa hivi sasa kampuni inabadili muundo wa uendeshaji na uzalishaji, pia kubadili mwelekeo kutoka ‘print’ kwenda digital, hatua hiyo itaendana pia na kupunguza wafanyakazi.

“Ili kuendana na mabadiliko ya biashara, tunapenda kuutangazia umma kuwa kuanzia Jumatatu Mei 20. 2019 gazeti la MTANZANIA halitakuwa likichapishwa kwa kipindi cha mwezi mmoja, hivyo uzalishaji utarajea baada ya mwezi mmoja,”ilisema taarifa hiyo.
 
S

Smiling killer

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2018
Messages
651
Points
500
S

Smiling killer

JF-Expert Member
Joined May 1, 2018
651 500
Magazeti yanapangiwa nini yaandike nini yasiandike nani ana muda wa kununua gazeti na watayaua yote yatabaki ya ccm tu!..tunarudi tulipotoka!
 
I

Ikitotanzira

Member
Joined
Feb 12, 2019
Messages
24
Points
100
I

Ikitotanzira

Member
Joined Feb 12, 2019
24 100
Wimbi la kupoteza ajira taz limekuwa gonjwa kuu ndani ya taifa letu leo kampuni ya magazeti ya mtanzania imetangaza kutochapisha gazeti lao na badala yake watalichapisha kwa kupitia mtandao (social media) Kutoka uuzaji wa nakala ya gazeti (printcopy) takribani wafanyakazi 20 watapoteza ajiri hii yote inaonyesha hali ya uchumi kuwa ngumu wafanyakazi wa gazeti la mtanzania hawajapata mshahara kwa miezi 6 mfurulizo kwa hali hii tanzania na watanzani wapi tunaelekea
 
papason

papason

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
2,879
Points
2,000
papason

papason

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
2,879 2,000
Watapataje profit na kurudisha gharama zingine za uendeshaji thru kuwa digitali ili hali tunalisoma gazeti lao bure? Au ni janja yao ili kupunguza wafanyakazi?
 
ruby garnet

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Messages
1,783
Points
2,000
ruby garnet

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2017
1,783 2,000
KAMPUNI ya New Habari (2006) Ltd, imesema kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo itasitisha uzalishaji wa gazeti la MTANZANIA kuanzia Mei,20 hadi Juni 20, mwaka huu kutokana na mabadiliko makubwa ya muundo yanayoendelea.

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa kampuni hiyo Dar es Salaam jana, ilisema uamuzi huo umefikiwa baada ya kampuni kubadili muundo na uendeshaji na kwamba gazeti hilo sasa litapatikana kwa njia ya digitali kwa kipindi chote hicho.

“Kampuni inautangazia umma na wateja wake kuwa hivi sasa kampuni inabadili muundo wa uendeshaji na uzalishaji, pia kubadili mwelekeo kutoka ‘print’ kwenda digital, hatua hiyo itaendana pia na kupunguza wafanyakazi.

“Ili kuendana na mabadiliko ya biashara, tunapenda kuutangazia umma kuwa kuanzia Jumatatu Mei 20. 2019 gazeti la MTANZANIA halitakuwa likichapishwa kwa kipindi cha mwezi mmoja, hivyo uzalishaji utarajea baada ya mwezi mmoja,”ilisema taarifa hiyo.
Munasimama mwezi mmoja , harafu mnapunguza wafanyakazi???
 
Forum statistics

Threads 1,295,669
Members 498,336
Posts 31,219,043
Top