Moja kwa moja kwenye point
Kampeni zilipigwa kwa nguvu sana kwamba tuachane na ANALOGY TV tuingie kwenye DIGITAL TV sababu nyingi sana ,
Sasa baadhi yetu tunajuta BORA mara 10 analogy kuliko hii digital hasa musimu wa mvua, analogy utaona mchele mchele lakini sauti utaisikia vizuri na hata picha kwa mbali black n white lakini angalau information utaipata
Tatizo kwenye digital ni tatizo kubwa sana, mawingu tu yakitanda baaassssii
utapata mang'amu mang'amu tu sauti hakuna, ikianya nanyunyu basi tena
Hasa wakati wa masika unaweza kabisa mwezi mzima huna TV, HAINA KITU
Nimebadili vingamuzi wapi, tena mm niko Dar je wa kijijini ana hali gani ?
Mimi naona tulidanganywa ndio maana wenzetu kule kenya waligoma
Bora wangeziacha zote mbili ziendelee