Wasanii wawe na mfuko wao...

Wasanii wawe na mfuko wao...

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF,

Leo ningependa kuwashauri wasanii wetu wawe na mfuko wao..

Utakaowasaidia once wakianguka na kuona madawa ya kulevya ndio suluhisho pekee....

As Hili ni group at risk...,

Interventions should target these specific groups...,

Wanaweza kuungana na BASATA, wakawa na concerts to raise funds,

This will create awareness of mental health difficulties at the same time waathirika wanapata practical solution before things get worse..

Have a blessed weekend,

Becky.
 
Kwanza kabla ya kuwa na mfuko wao wajifunze kuwa humble. They have to know and well understand that their audience are their bosses.
 
Its true mkuu,nani atawaelewesha sasa??lol I just think kuwe na some coaching what to expect during fame,na kuna Maisha after being famous,..lol...
 
For real, we all have our ups and down! Wakiwa katika vilele vyao basi hujiona kama wao hakuna.

Kwahiyo until then waache waendelee kuwa mapunda kwanza.
 
Mkuu unaelewa kuwa ni group at risk??,wewe na mimi tuna ups and down lakini ukiwa kwenye 'spot light' ni ishu nyingine...wako vulnerable is what I am trying to say...
 
Hii ndiyo kitu nilikuwa nakwambia last time, una vitu vingi kwenye sekta hii ambavyo naamini ukiamua kifunguka utatusaidia wengi.

Mkuu ungenijua usingesema hivyo hahahahahah its opposite humu niko kujifunza Zaidi,vitu vinavyoandikwa humu ndio huwa ndio napenda kuviangalia na kujifunza na kunifikirisha..usiniogope mkuu mie mropokaji tuu..lol
 
Hii topic umewahi kuileta, na nadhani pia kuna thread umewahi kuchangia points kadhaa ambazo ni related na hizi mambo.

Naamini ipo siku utafunguka, believe me, humu ndani tunao wengi ambao wanahitaji hilo somo.
 
Ni muathirika wa mambo haya ninayozungumzia..nisingependa wengine waende route niliyopitia,ninajifunza bado..sijawa expert,lol
 
Back
Top Bottom