kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,811
Askofu mstaafu wa jimbo katoliki la mbinga aefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84. Askofu Emanuel Mapunda alizaliwa mwaka 1935.Askofu Mapunda alipata upadrisho mwaka 1965 Songea, Aliteuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Askofu wa mbinga mwaka 1986.Askofu Mapunda alistaafu mwaka 2011.Askofu Mapunda amefariki huku kukiwa na msiba mwingine wa Askofu mstaafu wa jimbo katoliki la mtwara mhashamu Gabrieli Mmole anaezikwa siku ya j3 tar. 20.Mungu Mwenyezi uzipumzishe roho za mababa Askofu hawa mahala pema peponi. AMINA