Maoni ya Hezron

Maoni ya Hezron

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
Muda mwingine unatazama nyuma, unaangalia mtu ambae ulikuwa nae katika mahusiano. Unatazama namna mtu huyo alivyokosa muelekeo.

Unatazama Jinsi asivyo na maono, malengo, heshima kwa Mungu na kujiheshimu yeye binafsi.

Kisha, unatazama nguvu (force), uhodari (versatility) na Ukubwa (magnitude) wa ndoto, maono na malengo yako ya maisha. Unatazama hustle zako na jitihada za kuutafuta uhuru wa kiuchumi (financial freedom).

Halafu unajikuta unapiga magoti na unalia mbele za MUNGU huku ukimwambia “Gratias Deo, qui eruit me de exercitu occidi Somnium”

Ukimaanisha, "Asante MUNGU, umeniokoa kwa mtu ambaye angeua kabisa ndoto, malengo na maono yangu. Umeniokoa kwa mtu ambae haheshimu ubora wenye viwango!”

Asikwambie mtu, ku-move on kunaleta raha moyoni, nuru machoni, afya mwilini huku wabaya wako wakifarakana!

Kurambaramba ndio kula, kunenepa majaliwa yake mola!

Gratias Deus - Thank you God!


#SeeYouAtTheTop

Tweve Hezron
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom