Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Ndugu zangu tufanye kazi kwa bidii lakini tusisahau kula bata na kufurahia maisha tusijinyime eti unaweka kwa ajiri ya akiba ya badae.
Kula maisha vaa vizuri kula vizuri lala pazuri kula mema ya dunia hakuna hajuaye kesho.
Nashangaa watu mnajifanya mabahiri na kujinyima maisha..Msisahau kula nchi kula maisha ponda mali kufa kwaja..