Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
USHAURI kwa WAANDISHI wa HABARI na WATANGAZAJI Tu.(WANAWAKE).
Ndugu zangu wanahabari wenzangu nawapenda sana, Leo nataka nitoe angalizo kwa wanahabari wa kike.
Hivi karibuni na mpaka sasa kuna tabia imeibuka ya Vigogo na Viongozi Fulani kwenye Vyama vya Siasa na hata Serikalini, kumekuwa na kasumba ya Viongozi kuhakikisha wanawataka kimapenzi wanahabari wa kike ili habari zao ziwe zinapewa airtime bila gharama.
Msishangae mkawa mnatongozwa sana na viongozi na ukimpa bunyee(penzi) anakutumia kama chombo cha kutoa habari zake bure maana umeshakuwa demu wake. Kuweni makini sana Kiongozi mmoja anaweza kutembea na staff nzima ili tu habari zake ziwe zinapata airtime bure au kupewa kipaumbele.
Kuweni makini Dada zangu, Mimi niko nje najua kila kitu mnachofanyiwa, anzeni kuwagomea sasa, wakafanye mapenzi na wake zao, kwenye tasnia yetu ya habari wasilete mapenzi.
Ndimi:
Deogratius Nalimi Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama cha ACA tarajiwa.