YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Jana nikiwa kwenye basi la mwendo kasi majira ya jioni kuna mzee alikuwa akilalama wakiongea na mwenzie kuwa amepeleka fomu ya assesment ya kodi TRA ina mwezi haijatoka. Akasema wanakaa nazo muda mrefu hawajui hata time value of money kuwa wanatakiwa wafanye assesment haraka mtu ulipe kodi, serikali ipate pesa chap chap.
Akasema alikutana na wengi wanalalamika hicho kitengo wamekibandika jina la mortuary kuwa ukipeleka form ya assesment pale ni sawa na umeipeleka mortuary. Je kuna kitengo Kinaitwa mortuary TRA au sehemu nyingine yoyote ya serikali unapopajua?