Kampuni ya Tigo yaondolewa katika soko la hisa DSE.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,396
24,971
Kampuni hiyo kongwe nchini, ambayo umiliki wake unahusishwa na mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji, pamoja na nyingine zinazotoa huduma za simu zinatakiwa zijisajili DSE kwa ajili ya kuuza asilimia 25 ya hisa zake kwa umma kwa mujibu wa sheria.


Chanzo : Mwananchi Online
 
Hiyo sheria imeanza jana au ilikuwepo na kama ilikuwepo kwa nini hawakufanya hivyo kwa muda sitahiki, Maelezo yanahitajika ya kina kutoka kwa mamlaka husika kwa nini hawakufanya hivyo hadi leo.
 
Back
Top Bottom