Sehemu kubwa za nchi yetu hali ya hewa iko tete mvua hakuna, lakini sioni juhudi za makusudi za kuelewesha wakulima nini wafanye kukabiliana na hali itakayofuatia, kwa jinsi mambo yanavyoonyesha kutakuwa na upungufu wa chakula maeneo karibu yote ya nchi yetu.
Kwa hali halisi ya kilimo nchi mazao yanaanza kukomaa kwa miezi mitatu kwa maana hiyo mvua zikianza kunyesha sasa ili wakulima walime hadi mavuno ni hadi mwezi wa saba, je serikali yetu imejipangaje kwa miezi inayotarajiwa kuwa na hali uhitaji wa chakula wa kutisha kuanzia machi hadi julai? Tafakari chukua hatua