Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 486
Hallo wana-JF,
Baada ya E-fm kuja na TV na kufanikiwa kuanza kuwateka vijana wapenda burudani ya Muziki, hivi sasa kuna ujio mwingine mpya wa TV kwa kupitia king'amuzi cha AzamTV inayoenda kwa jina la ASTV.
Tujuzane huu ujio ni kutoka media gani!?
Kwa muda mfupi nliotumia kuitizama, nmegundua mapungufu mengi ikiwemo poor quality ya picha. Labda kwa vile ndio wanaanza, pengine wata gain momentum as days go on.
Logo yao nmeipenda, wamei design vizuri.
Niwatakie kila la heri kwenye ushindani wa hii Industry ya Media.