Nyoka black mamba au koboko amemuuma mtoto Palenji mwenye umri wa miaka 4 mkazi Wa kijiji cha Masanyita kata ya Mpapa wilayani Momba mkoani Songwe, ambaye amefariki ndani ya dakika 48 baada ya...
Wakuu,
Baada ya kumsikiliza Mh Mbunge akitoa hoja kuwa kilimo cha bangi kiruhusiwe nchini nimekuwa na najiuliza maswali mengi.
Mh Mbunge amesema kilimo kiruhusiwe ila watu wasiruhusiwe kuvuta...
Wazee kumekucha?
Wakati nakuja Dar rasmi kwa ajili ya kuanza makazi ya kudumu nikajisogeza kwa nabii Frola ili nisogeze shida zangu za kiuchumi. Pia nilikwenda nijifunze utumishi wa Mungu maana...
Tabora. Dumala Kalimba (45), mkazi wa kata ya Ntobo wilayani Igunga Mkoa wa Tabora anatuhumiwa kumuua mkewe kwa kumkata na panga kichwani kwa madai kuwa amemroga uume wake usifanye kazi...
Habarini wakuu katika akaunti yangu ya salary slip portal sioni salary slip ya mwezi wa nne wala bank haijanitumia sms ya mshahara. Je tatizo itakuwa nini?
Je, ni wivu?
Je, ni dharau?
Je, ni kutojiamini?
Au kuna kingine ambacho sikifahamu?
Cha ajabu kilichonipelekea kuandika hiki, ni kuwaona wakiwazalisha hawa wetu weusi na kufunga nao ndoa, ila...
Hii kampuni inafanya safari za kutoka Dar - Twara lakin huduma zake ni feki kulingana na ushindai ulio kwa sasa ilipo fiikia sasa siyo wamebaki wanatoa huda kimazoea wanashindwa kwendana na...
Juzi nimesikia eti serikali imepiga marufuku GMO katika kilimo nimejiuliza mengi lakini kubwa ilikuwa je hawa wanajua wanachokifanya?
Nauliza hivi kwa sababu sisi afrika tunaonekana kuwa "nguli"...
Habar za mida wakuu..
Kuna kitu najiuliza kuhusu kinga dhidi ya mashtaka anayopewa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kikatiba.
Katika nchi ya kidemokrasia kama Tanzania inaaminika kuwa...
Maisha kwa mtumishi wa umma ni ya wasiwasi sana. Hana uhakika na kesho yake.
Siku hizi watu wenye pesa zao wakuwa wajanja mno. Wanawalalia sana watumishi wa umma , hasa wenye familia na matatizo...
Maana ya afya njema si kuishi bila maradhi, Bali ni kutambua maradhi yako na kujifunza jinsi ya kuyatibu au juishi nayo bila kukuletea madhara makubwa.
Wakati kwenye sherehe za wenye uelewa maji...
Kisiwa cha Faroe ndio kisiwa pekee kwa sasa duniani chenye upungufu wa wanawake. Kisiwa hicho kina idadi ya watu wapatao 50,000, kikiwa ni muunganiko wa miamba 18, vikiwemo visiwa vya volcano...
Simba ni mnyama mvivu asiye na mfano, hutumia muda wake mwingi kupumzika hata kama hajachoka, takribani saa 15 hadi 20 katika saa 24 hutumia kubadilisha mapozi tu.
Lakini wataalam wa mambo husema...
Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kupepesa macho. Tangu kampuni za simu za mkononi zivumbue njia mpya ya kununua umeme wa LUKU bure kupitia mpesa, tigo pesa, airtel money, etc, ununuzi wa...
Ninatarajia kuwa na safari maeneo hayo hv karibuni, naomba mwenyeji au mzoefu wa hayo maeneo anipe maelekezo ya usafiri wa kufika huko kirahisi ukitokea Temeke mwisho maana ndio naishi na ndipo...
WATU watatu, wakazi wa jijini Dar es Salaam, wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shitaka la uhujumu uchumi kwa kukutwa na nyara za serikali na utakatishaji wa...
JF naimani mko salaama ndugu zangu
Hujafa hujaumbika kuna mzee umri miaka 48 ameniomba nimuombee msaada kwa watu watakao guswa kulingana na tatizo lake alilo pata juzi akiwa anaelekea kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.