Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,074
- 168,754
Huyu huwa namfurahia hotuba??? zake, mnaitaje kwa kiislamu. sas anaanza kuniudhi
Huyu huwa namfurahia hotuba??? zake, mnaitaje kwa kiislamu. sas anaanza kuniudhi
Loh, wameshamuona jamaa boya, unamsifia , unapata ka cheo!Anataka ukuu wa mkoa
Ipi iyo mkuuHahahaha video ya juzi mie mpk sasa nacheka balaa...dah..
Alifanyajeeeee?Hahahaha video ya juzi mie mpk sasa nacheka balaa...dah..
Alifanyajeeeee?
Ipi iyo mkuu
Itafute dear nijichekee na mie[emoji12][emoji12]Yaan nimeifuta sio muda..anasema tuwe na subira maana mwez huu kuna watu wanafanya makusudi..wana mizigo (makalio)mikubwa inavyoenda kama haina mwenyew[emoji23][emoji23][emoji23]..imesambaa sana jpl..ngj niitafte
Nimeigugo haigugoki, nimeicopy hakopyki, nimeipesti haipestikiItafute dear nijichekee na mie[emoji12][emoji12]
Itafute dear nijichekee na mie[emoji12][emoji12]
Ha ha ha ha ha "zigo linajiendea kama halina mtu" nimecheka
Ile kesi iko very sensitiveUamsho walikuwa na agenda gani? It must be very serious. Sidhani kama wanaonewa
Dawa ni kujipendekeza tu kwa Mabuludoza. Wale uamsho walichoma kanisa la watawala wa dunia, pale kizuizini wako kwa amri kutoka juu ya mawingu, mbinguni, sio magogoniIle kesi iko very sensitive
Uamsho walikuwa na agenda gani? It must be very serious. Sidhani kama wanaonewa