Hivi inakuaje mwanaume una profile yako picha ya kike iwe whatsapp, insta, facebook au jamii embu naomba mnisaidie huwa wanafikiriaga nini?
Nimejikuta naanza kuwasalimia mambo halafu...
Kwenye makutano ya barabara hizo mbili Lumumba na Uhuru mnazi mmoja karaikoo Dar, kama taa zikizima magari yanapita vizuri sana
Lakini pale tu taa zinapowaka au kufanya kazi msongamano...
Wakuu nadhan hamjambo
Naomba Msaada wa kujua jins gan nitaona safari chanel kwenye simu Kama TV zingine maana nikiingia kwenye download application ya tbc siipati msaada wenu kwa wajuaji hili...
Maofisa watano wa Benki ya Ushirika Mkoani Kilimanjaro(KCBL)wamefukuzwa kazi kutokana na tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo.
Waliofukuzwa kazi ni pamoja na aliyekuwa meneja...
Mabweni ya shule ya sekondari wasichana Ashira,iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro yanateketea kwa moto.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi.Anna Mghwira amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku...
Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) umetenga Shilingi Bilioni 127.3 kwa ajili ya kufadhili miradi ya kilimo nchini Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020.
Rais wa...
Kwa tulio wahi SHUHUDIA MISAFARA YA WAKUBWA WA NCHI wakiwa wanaenda mahali kwa kutumia barabara nadhani tutakubaliana wote kua hawa ndugu zetu wao wanakua Juu ya sheria wakati huu unapofika...
Wakuu naombeni ushauri.
Nina simu mbili, zote za ni Smart.
Mama na mpenz wangu wana simu za button.
Wote waniomba hiyo simu kwa wakati mmoja.
Nampenda sana mpenz wangu kiukweli ni kama rafiki...
*TANZANIA ISIYO YA MAGUFULI, NAWAZA MAMBO KWA KINA, INGEKUWA VIPI?*
*Na Mwamba wa Kaskazini, Nagarenaro, Arusha, Safarini Dar*
MVUA zinaendelea kunyesha jijini Dar es Salaam ambako nimefika kwa...
KOSA NAMBARI 1
Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.
KOSA NAMBARI 2
Usitumie pesa...
Jana nimechomoka saa mbili usiku kutoka ofisini kuelekea nyumbani, Gongo la Mboto. Ee bhana nimetimba nyumbani saa tano na nusu.
Hiyo foleni ya Vingunguti mpaka kuvuka majumba sita sio kitoto...
Niende moja kwa moja ktk mada,kuna huu mtindo uliozuka sasahivi unaofanywa nawajinga wajinga ktk mitandao,wanawafundisha watu kudukua mawasiliano ya watu wao wakaribu.tena mwisho anakuambia...
Hakika hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa.
Unawahamisha watu na kuwaonyesha ni wapi pa kufanyia shughuri zao ili kuweza kujipatia kipato cha kila siku.
Nimeona machinga wa pale mwenge wameondolewa...
By
Goolam Mohamedbhai
The Inter-University Council for East Africa (IUCEA) is a membership organization comprising about 100 public and private universities in the five East African...
Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) umetenga Shilingi Bilioni 127.3 kwa ajili ya kufadhili miradi ya kilimo nchini Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020.
Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.