Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

BY POLICE. Hili ni tangazo ambalo limewekwa kwenye makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani. Chukulia kuwa mtu hajui Kiswahili na ameliona hilo tangazo (na kumbuka kuna tangazo jingine getini...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kweli mkubwa dawa. Mkubwa anakuwa dawa kwakuwa ameona na kusikia mambo mengi, kwayo huweza kutumika kama dawa kwa tatizo la mtu mwingine. Kisa hiki kilitokea Lindi , Nachingwea 2013 ambapo Mch...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
Hivi, kwanini eneo kama Msasani Mall kwenye maegesho yaliyojengwa na wenye biashara tena ndani ya Uzio TARURA waingie kutoza ushuru? Hizi tozo ndo zitaifanya Tanzania kuwa ‘Dona Kantri’? Inaboa sana
0 Reactions
3 Replies
914 Views
ni siku nyingine njema siku ya Jumapili siku ya kumwabudu Mungu na kutubu, wengine ilikuwa jana wengine ilikuwa juzi nknk! Kila mtu ana siku yake ya kuabudu kwa imani yake!ni siku maalum kwa...
5 Reactions
49 Replies
8K Views
Nimecheka sana kwenye komesho ya Pepsi mkubwa wakati Diamond anapo sema " mimi naitwa diamond "huyu haitwi diamond,angesema mi naitwa Basin Abdul nikijulikana kama daimond.Halafu kuna ujinga mmoja...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari JF. Kama mjuavyo tarehe 01/06/19 ndiyo mwisho wa matumizi ya mifuko ya plastiki humu nchini. Je ni upi mbadala wa mifuko hii ili kutoleta adha kwa wafanyabiashara na wateja ktk maeneo...
3 Reactions
73 Replies
10K Views
Wakuu Inasikitisha hii habari kama ni ya kweli lakini itahitaji miaka mitano mbele kuwarudisha wanunuzi wa korosho tuliowakejeri na kuwaita madalari. Viongozi mjifunze lugha za kibiashara pia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Serikali ilibug yenyewe na kusababisha hadh ya mwalimu kushuka: Moja: Kuongeza mshahra wa walimu! Hi ni moja ya kilichofanya walimu washyke hadhi! Mwalim anapata hela ndgo kias kwamba anaishia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania(BOT) Prof. Florence Luoga,amewaagiza wahasibu na wakaguzi wa mahesabu hapa nchini kuhakikisha kuwa wanafanya kazi zao kwa kuzingatia maadili ya kazi ikiwa ni pamoja...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Waafrika alieturoga alituweza sana. Mwaka jana Vodacom ikateua raia mwanamama mmoja kutoka Kenya kuja kua mkurugenzi wake, maneno yakawa maneno kua kwani tumekosa mtanzania wa kushika hizo nafasi...
31 Reactions
258 Replies
30K Views
Habari wakuu, Namshukuru Mungu nimepata safari ya kikazi kwenga Thailand mwezi ujao kikazi kwa wiki mbili. Kama mnavyojua, every placemnt is unique, ukienda mahali lazima upate uzoefu kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1.AMEURTER KILLERS. Wauaji wasio na ujuzi, Huacha alama huua hovyo sio wataalam.. Ni watu wanaopewa kazi wasioimudu. Hawana shabaha. 2. PROFESSIONAL KILLERS. Wauaji wataalam, wataaluma...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa ‘ Mapungufu ‘ kama haya nitakayoyaorodhesha hapa bado ‘ lawama ‘ zote atupiwe Shetani? Umeambiwa usifanye Ngono zembe ukakaidi na Kuathirika kisha Ukafa. Umeambiwa usipige chabo Shuleni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza nianze kwa kusema ,ZOLA au offgrid electric Tanzania ni kampuni iliyokua imeanzishwa na Wamarekan walioona Haja ya kuwekeza katika Nishati ya Jua (SOLAR) Tanzania. Ni moja ya kampuni...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kumekucha vyema! Wenye dengue poleni zingatieni kunywa maji mengi kutwa ltr×3! Turudi kwenye mada yetu! wazungu wanasema "golden chance never comes twice" "Supu ya mbwa hunywewa ingali ya...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Ujasiri wa mtoto Anthony Petro, sasa umezaa matunda na kuleta mabadiliko katika familia yake. Anthony, mtoto wa miaka 10, mkazi wa Ngara alisimama kidete kumzuia baba yake Petro Magogwa asiuze...
16 Reactions
54 Replies
11K Views
IGIZO Angalia mchezo wa kuigiza Kwenye huu wa kuigiza tumeona ambavyo mwanafunzi ambaye hakufanya vizuri kwenye masomo yake na kuhitaji msaada Zaidi kimasomo lakini mwalimu wake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
IGIZO Angalia Mchezo huu wa kuigiza Kwenye mchezo huu wa kuigiza tumeona jinsi ambavyo binti akitaka kumuhoji kiongozi(Mbunge) kuhusu mambo kadhaa kuhusu maswala ya Bunge lakini...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Utasikia Vijana Wa Kitanzania Vile Wanaitana Boss, Chief, Mtaalamu, Doctor, Fundi, Mkuu, Professor, Muheshimiwa, Kiongizi, Captain Yaani Unaweza Kusema Nchi Haina Tatizo La...
8 Reactions
64 Replies
6K Views
Mimi hupendelea kumuita Iron Lady wa media zetu za kibongo. Ni Makamu Mkurugenzi Mtendaji wa makamapuni ya IPP. Ni mama mwenye misimamo yake haswa linapokuja suala la kuilinda image ya IPP. Baada...
33 Reactions
122 Replies
27K Views
Back
Top Bottom