Chupa moja ya Cocacola ina vijiko 10 vya sukari

Chupa moja ya Cocacola ina vijiko 10 vya sukari

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,425
1104243


Maana ya afya njema si kuishi bila maradhi, Bali ni kutambua maradhi yako na kujifunza jinsi ya kuyatibu au juishi nayo bila kukuletea madhara makubwa.

Wakati kwenye sherehe za wenye uelewa maji ndiyo kinywaji cha wote na utayakuta mezani, vinywaji vingine hutolewa kwa maombi.
1104301



Huku kwetu Kwamtogole sherehe bila soda ya Azam si sherehe. Wape maji kama kinywaji cha kushushia pilau watakwambia hawaumwi malaria mpaka uwape maji ya kumezea dawa.

Wale wenye diabetes mjue sukari mnayoingiza mwilini kila mnapo kunywa chupa ya soft bicarbonate drink.
 
kwanini tunanenepa kupitilizaa? ulaji mbaya au mtindo mbaya wa maisha ambao ndo huo.
Asubuhi sukari (chai,maandazi.chapati)
saa nne (chai.juice, keki0
mchana (wali,soda/juice nk)
usiku (wali,soda/juice/nanasi/papa/chungwa nk)
vingine visivyo kwenye ratiba, mara alambe sukari mara ale asali mara uji wa mtoto, mara kaenda kwa jirani kapata kasoda,
alafu hana hata mazoezi, huna hata kazi ngumu hata yakutoa jasho, na ukipata nafasi ya mazoezi unatembea unasema umefanya mazoezi kwelikweli nani aliyekudanganya?
Haya yote ndo yanapelekea mwili kuongezeka na kunenepa ambako huleta maradhi mengi kwenye mwili na kuchangia kuua mifumo mingi ya mwili. Maji ni mazuri sana kiafya ila maji si mazuri sana kwa wenye presha ya kupanda
 
Koka bhna sijui huwa wanawaloga wanywaji wake mana mtu hawez kula bila koka pemben
ni hivi mkuu vinywaji vyote vyenye sukari ukianza kunywa huwa unatamnai wakati wote unywe, vinaleta arosto ka ile ya watu wa unga , yani unahisi bila kunywa ka hautakuwa sawa mie sigusi soda wala juice yoyote ile na naona kawaida
 
Back
Top Bottom