Koboko(black mamba) aua mtoto Songwe

Koboko(black mamba) aua mtoto Songwe

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
1,551
Reaction score
2,694
Nyoka black mamba au koboko amemuuma mtoto Palenji mwenye umri wa miaka 4 mkazi Wa kijiji cha Masanyita kata ya Mpapa wilayani Momba mkoani Songwe, ambaye amefariki ndani ya dakika 48 baada ya sumu kusambaa mwilini.

Mtaalamu wa masuala ya tabia za wanyama pori Bi.Janethi Masembo amesema koboko ni nyoka mwenye sumu za aina mbili ambazo ushambulia mfumo wa fahamu pindi ziingiapo mwilini na zinaua ndani ya muda mchache baada ya kukosa matibabu.

Chanzo RFA
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kila mtu ananishangaaa..dah...nashundwaga kujikaza kbs mm aisee...hahahhaaa hii last sentence[emoji23][emoji23][emoji23]chakaza ofisi nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] sikucheka mwanzo ila hiyo ya kuchakaza ofisi nzima imeniacha hoi
 
Nyoka mwenye sumu aina mbili, ambazo ni.... Hebu tusaidie mtoa mada.
 
Back
Top Bottom