Hivi ni kwanini kufanya Dhambi ni rahisi kuliko kufanya mambo mema?

Sehemu kubwa ya maisha yetu tunafanya MEMA,sehemu ndogo sana ndio tunatenda DHAMBI,na kwa sababu tumekaririshwa kuwa DHAMBI ni mbaya na ni makosa kwa mwenyezi MUNGU,ndio maana ukiteleza kidogo tu unaweweseka kama hivi..
 
Dhambi Nini? Na wema Nini? Kinachoweza kuwa dhambi kwako kwa jirani yako kinaweza kuwa wema na pia kinachoweza kuwa wema kwako kwa jirani kinaweza kuwa dhambi.
 
Ndo maajabu ya dini haya. MUNGU anatakiwa kuwa na nguvu sana na obvious mwenye nguvu ndio ana attract watu kwake lakini hii inakuwa tofauti duniani hapa... watu badalabya kutenda mema wanatenda maovu sana
 
Hata kufanya mema ni rahisi sana, ni vile tu dhana nzima ya dini ina....

Acha niishie hapo
 
Yesu ndio ondoleo la dhambi tulisha samehewa lkn kwa maana tusitende dhambi tena
Na hizi ambazo kila siku tunasoma
"Nirudieni Mimi enyi binadamu....dhambi zenu zijapokuwa nyekundu... Mimi ni Mungu niyafutaye makosa yenu na kwa ajili yangu sitoyakumbuka tena"
Ni zipi ambazo zinaongelewa.
 
Mwanadamu ni kiumbe dhaifu anatenda dhambi mara kwa mara hivyo ukitubu na kuziacha Mungu anasamehe
Na hizi ambazo kila siku tunasoma
"Nirudieni Mimi enyi binadamu....dhambi zenu zijapokuwa nyekundu... Mimi ni Mungu niyafutaye makosa yenu na kwa ajili yangu sitoyakumbuka tena"
Ni zipi ambazo zinaongelewa.
 
Hivi ni kwanini kufanya DHAMBI ni rahisi sana kuliko kufanya mambo MEMA?
Kufanya mema ni rahisi kuliko kufanya dhambi ni vile ukifanya memba unakuwa hufeel guilty kama ukifanya dhambi ndo maaana wafanya memba mengi lakini hunote kama umefanya mema.
 
Back
Top Bottom