Panda gali zinazo enda kibiti au kimanzichana watakushusha hapo njiapanda ya kisele siyo mbali sana na mkulanga ni kama km3 kutoka mkulangaNinatarajia kuwa na safari maeneo hayo hv karibuni, naomba mwenyeji au mzoefu wa hayo maeneo anipe maelekezo ya usafiri wa kufika huko kirahisi ukitokea Temeke mwisho maana ndio naishi na ndipo ntakapoanzia safari.
Ahsante
Ahsante mkuu Na vipi magari ya kuelekea huko mkuranga stand yake ni ipi maana Mimi naishi temeke Na sijawai yaona magari ya mkuranga pande hiziPanda gali zinazo enda kibiti au kimanzichana watakushusha hapo njiapanda ya kisele siyo mbali sana na mkulanga ni kama km3 kutoka mkulanga
magari ya mkulanga yapo mbagara rangi3 ulizia stend ya shamba .Ahsante mkuu Na vipi magari ya kuelekea huko mkuranga stand yake ni ipi maana Mimi naishi temeke Na sijawai yaona magari ya mkuranga pande hizi
Hata temeke hapo stereo zipo gar za temeke mkuranga ambazo zinashusha mpaka kiparang'anda hapo kisele zinafikaAhsante mkuu Na vipi magari ya kuelekea huko mkuranga stand yake ni ipi maana Mimi naishi temeke Na sijawai yaona magari ya mkuranga pande hizi
Hata zinazoanzia temeke pia zipo nyingi tu maeneo ya stereomagari ya mkulanga yapo mbagara rangi3 ulizia stend ya shamba .