Fahamu Kisiwa chenye upungufu wa wanawake

Bailly5

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
16,403
35,083
Kisiwa cha Faroe ndio kisiwa pekee kwa sasa duniani chenye upungufu wa wanawake. Kisiwa hicho kina idadi ya watu wapatao 50,000, kikiwa ni muunganiko wa miamba 18, vikiwemo visiwa vya volcano islands kati ya Iceland na Norway kwa upande wa Kaskazini mwa Bahari ya Atlantic.

Kuna takriban wanawake 300 kutoka nchi za Thailand na Ufilipino wanaoishi katika kisiwa cha Faroe. Katika miaka ya hivi karibuni visiwa vya Faroe vimepata upungugufu wa idadi ya watu huku vijana wengi wakiondoka kwenye kisiwa hicho kutafuta elimu na kutokurudi tena kuishi katika eneo hilo.

Waziri mkuu wa Forea Island, Axel Johannese ameeleza kuwa kisiwa hicho kina upungufu wa jinsia ya kike huku kukiwa na uchache wa takriban wanawake 2000 ikilinganishwa na wanaume.
Kutokana na upungufu huo, baadhi ya wanaume katika kisiwa wamelazimika kutumia mitandao ya mahusiano (dating sites) kutafuta wanawake kutoka maeneo mengine.

Idadi kubwa ya wanaume katika kisiwa hicho wamepata wake kupitia mitandao hiyo huku asilimia kubwa wakiwa wageni kutokea bara la Asia.
14d6439aba0268f0bb38feb6988e796b.jpg
0de77316bd396078ad23c3c30a7804fd.jpg
ee662d3396a3045c05ee59168f0ae312.jpg
908d417994390e8828043a6bf9e7490d.jpg


Chanzo. Bongo5.com
 
Aisee si waandike tu barua kwa mkuu awape kadhaa wanaowahitaji?? Mbona hao 2000 ni wachache sanaa?? Yaani chap wanapewaa, wenzao kenya waliomba wataalamu wa sekta fulani na +ve response ilikuepo, sembuse hao wanaowataka Faroe island? Wawape tuu tupunguze matatzo.
 
kwanini wasiwaije na hapa bongo maana tuna wanawake wengi sana ila tusio na faida nao!!
 
Naam Besti. Faroe Islands kipo under Denmark jurisdiction pamoja na Green land. Ila wana mila yao mbaya sana ya kila mwaka kuua nyangumi aina ya pilot whales kwa kuwakusanya na kuwasogeza karibu na fukwe. Juzi juzi tu hapa raia mmoja hapo kisiwani alishinda lottery kubwa sana mamilioni. Watu kutoka Faroe Islands wanaitwa Faroese ni Jamii moja ya Skendinevia yani Danish swedes Norwegians na islandic cha ajabu fins are not scandinavian though Finland is in the scandinavian pensula
 
Back
Top Bottom