Msafara wa Rais yeyote yule duniani uwa wa hati za diplomat za kusafiria,pia inasemekana hakuna ukaguzi wowote unaofanyika, hawakaguliwa airport hata chembe.
Uwa najiuliza km ni kweli vp katika...
SERIKALI imesema inamalizia kuandaa utaratibu kupitia Benki Kuu (BoT), ikiwemo uhakiki wa taarifa za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni yaliyofungiwa ili kuweza kutoa vibali maalumu kwa maduka...
The term originated from the fact that movies used to be captured onto physical reels of film that would be measured in feet. For example, when using 35mm film, a commonly used film gauge for...
UKIJITAMBUA UTAFIKA MBALI SANA
………….. Maisha yako, yamo mikononi mwako KABISA.
LAKINI, katika ulimwengu huu, ni rahisi sana kuyapaki pembeni,
Ukaanza kuishi maisha ya watu wengine.
………….
Fikiria...
HATIMAYE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanika mali za aliyekuwa Mhasibu Mkuu wake, Godfrey Gugai, ambaye utajiri wake unakadiriwa kuwa wa thamani ya Sh. bilioni 3.5...
Kiukweli nmeshangaa sana. Ni mmoja ya watu ambao miaka mingi nmekuwa niki wa admire sana humi JF. hasa kwa stories zake na vituko mbalimbali.
Jana nlipata nafasi ya kukutana naye kupitia kwa...
Huyu ndugu Ruge ambaye ni mmoja ya wamiliki wa mawingu radio na tv ni huyu huyu ambaye ana hisa asilimia 45 WCB ambako Diamond ana asilimia 25.
Kwa macho ya juu juu mnaweza shindwa elewa...
After over five hours in the theatre, my multiple surgeries went successfully here in India.
I would like to thank you ALL for your prayers & good wishes!
I'm still in a great amount of pain so...
Wakuu
Kuna kitu najiuliza binafsi, hivi hawa jamaa kuombaomba wanarithi kwa vizazi na vizazi au wanafundishwa kabisa waombe.
Utakuta wanaombaomba miaka yote tena wengine wazima na sio vilema wala...
Hali ni mbaya mtaani, watu wanahangaika sana kufanya hiki na kile bado mambo hayaendi, watu wananyenyekea ajira zao na maboss wao kipindi hiki hadi hatari, Ajira hamna, Soko la kuuza bidhaa mtaani...
Wanyakazi wa fastjet walifungua kesi mahakamani wakiiomba mahakama iweke zuio la muda fastjet wasiondoe ndege zao mbili nchini zenye usajili 5H-FJH na 5H-FJI mpaka hapo fastjet Plc watakapolipa...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wakati Serikali ikiwataka Wananchi wote kusalimisha kwa hiari mifuko ya plastiki waliyonayo kabla ya Juni mosi mwaka huu, Ofisi ya Tarafa ya Mihambwe imesema hakutakuwa...
Nimekuwa nikijiuliza sana ,Watt wetu wamemaliza minihani ya form 4 mwaka jana mwezi wa 11 na mpaka sasa ni miezi nane wapo majumbani wakisubiri kupangiwa SHULE zao.
Hivi si hatari kweli kwa...
Baada ya kufuatilia kizazi hiki cha walinda Raia na mali zao nimebaini kwamba viumbe hawa pamoja na mapungufu yao lakini wanastahili pongezi na heshima kubwa.
Kulikuwa na hoja wakati wa mchakato...
Katika Dunia Tunayoishi Sasa Ambapo Dunia Imekuwa Kama Kijiji Ni Vizuri Kutokuweka Kila Kitu Kinachohusu Maisha Yako Kwenye Social Networks, Be Selective On What To Post Not Everything Has To Be...
Asikwambie mtu kukaa maskani yoyote Ni msala maana mamwera muda wowote wanatimba na mapira kutujaza.kama una roho nyepesi usikae kabisa we chukua mzigo stori nyingine kwenu,kula pia kwenu.mimi...
Akizungumza na vyombo vya habari mwanzilishi wa mtandao huo Mark Zuckerberg,, amewakosoa vikali wale ambao wanatoa wito kampuni hiyo ifungwe, akiongeza kuwa wanafanya kila wawezalo kukabiliana na...
Kutokana na utafiti wangu wa siku mbili zilizopita, nimegundua kuwa si kweli kwamba dunia yetu ina umri wa miaka 6,000 ya mwanadamu. Bali, ina umri wa miaka 13,000 ya Mungu. Biblia yenyewe inasema...
Karibuni sana!
Maendeleo hayana vyama!
Picha mbalimbali kutoka katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameandaa Futari iliyohudhuriwa na watu mbalimbali, wakiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.