NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 998
Nimekuwa nikijiuliza sana ,Watt wetu wamemaliza minihani ya form 4 mwaka jana mwezi wa 11 na mpaka sasa ni miezi nane wapo majumbani wakisubiri kupangiwa SHULE zao.
Hivi si hatari kweli kwa kizazi hili Cha nyoka, na hata Material za shule zilisha watoka vichwani huku wakingoja kupangiwa shule,
Makundi ya vibinti hivyo vinavyo jiandaa kwenda form 5 nivingi sana haswa maeneo ya mwenge vikidai tunaenda mapambano kujisomea,
Hiii sio hatari kweli, kama hajavitiwa mimba na kuwa na Watt Basi VITAKUWA VIMEMUA KUOLEWA, huu muda ni mrefu sana wa kujiunga na hiyo form 5 ananisubiriwa.
Hakuna njia nyingine ya kufanya kweli? ili baada ya matokeo tu Watt wajiunge na shule zao haraka iwezekanavyo.
Mimi nimeona hili kama mwewe wa Clouds.