Usanii wa Ruge kuwa na Hisa WCB na kuwagombanisha na CLOUDS. Anapiga pesa Kuwili

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,515
Huyu ndugu Ruge ambaye ni mmoja ya wamiliki wa mawingu radio na tv ni huyu huyu ambaye ana hisa asilimia 45 WCB ambako Diamond ana asilimia 25.

Kwa macho ya juu juu mnaweza shindwa elewa inakuaje.alichofanya Ruge ni kuhakikisha anakula kwa ufasaha sehemu zote mbili.kuwa kama Clouds itabaniwa sehemu sababu flan flan then badala yake wakapewa deal WCB anafaidika.

Na kama WCB watabaniwa sehemu na badala yake wakapewa CLOUDS anafaidika pia. Ni business strategy ambayo mimi nampongeza sana.

Wasiojua ndo wanabaki kuhangaika na beef ya clouds na wasafi classic.kingine ni kuwa wakati wcb inanawiri kupitia diamond wasiompenda diamond wanahamia clouds alipo ali kiba. Jamaa anakula kote kote.😂😂😂😂

Akina kwisa wanabak wanahangaika tu kwenye mitandao kupambana na diamond boss wao anajua mchezo anao ucheza.

Wananchi wapuuzi wanabaki kutifuana kwenye mitandano na mitaani wakati wanaowashabikia wanajua wanachokifanya nyuma ya pazia.
 
Ndugu mtanzagiza kwanza leta ushahidi wa hiyo mikataba inayoonyesha Ruge anamiliki hizo hisa kama huna wewe ni mbea, mnafiki na mzandiki.
.
"Eti kina kiwisa hawajui lolote" yani watu wenye access na CMG wanaijua ndani nje useme hawajui lolote?
.
Ni sawa na mmiliki wa TUSIIME afungue shule nyingine useme wafanyakazi wake hawajui kuwa anashule shule nyingine.
.
LETA USHAHIDI HAPA KWANZA HUNA KANYE MATIKITI
 
Wasiojua ndo wanabaki kuhangaika na beef ya clouds na wasafi classic.kingine ni kuwa wakati wcb inanawiri kupitia diamond wasiompenda diamond wanahamia clouds alipo ali kiba. Jamaa anakula kote kote.

Akina kwisa wanabak wanahangaika tu kwenye mitandao kupambana na diamond boss wao anajua mchezo anao ucheza.

Wananchi wapuuzi wanabaki kutifuana kwenye mitandano na mitaani wakati wanaowashabikia wanajua wanachokifanya nyuma ya pazia.
Wewe jamaa kama umekuja mjini leo, basi utapata taabu sanaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndugu Ruge ambaye ni mmoja ya wamiliki wa mawingu radio na tv ni huyu huyu ambaye ana hisa asilimia 45 WCB ambako Diamond ana asilimia 25.

Kwa macho ya juu juu mnaweza shindwa elewa inakuaje.alichofanya Ruge ni kuhakikisha anakula kwa ufasaha sehemu zote mbili.kuwa kama Clouds itabaniwa sehemu sababu flan flan then badala yake wakapewa deal WCB anafaidika.

Na kama WCB watabaniwa sehemu na badala yake wakapewa CLOUDS anafaidika pia. Ni business strategy ambayo mimi nampongeza sana.

Wasiojua ndo wanabaki kuhangaika na beef ya clouds na wasafi classic.kingine ni kuwa wakati wcb inanawiri kupitia diamond wasiompenda diamond wanahamia clouds alipo ali kiba. Jamaa anakula kote kote.😂😂😂😂

Akina kwisa wanabak wanahangaika tu kwenye mitandao kupambana na diamond boss wao anajua mchezo anao ucheza.

Wananchi wapuuzi wanabaki kutifuana kwenye mitandano na mitaani wakati wanaowashabikia wanajua wanachokifanya nyuma ya pazia.
hujui kitu kaa kimya.

Ruge hana hisa Wasfi tv bali Kusaga ndiyo mwenye hisa Wasafi Tv tena kwa jina la mkewe.
 
Huyu ndugu Ruge ambaye ni mmoja ya wamiliki wa mawingu radio na tv ni huyu huyu ambaye ana hisa asilimia 45 WCB ambako Diamond ana asilimia 25.

Kwa macho ya juu juu mnaweza shindwa elewa inakuaje.alichofanya Ruge ni kuhakikisha anakula kwa ufasaha sehemu zote mbili.kuwa kama Clouds itabaniwa sehemu sababu flan flan then badala yake wakapewa deal WCB anafaidika.

Na kama WCB watabaniwa sehemu na badala yake wakapewa CLOUDS anafaidika pia. Ni business strategy ambayo mimi nampongeza sana.

Wasiojua ndo wanabaki kuhangaika na beef ya clouds na wasafi classic.kingine ni kuwa wakati wcb inanawiri kupitia diamond wasiompenda diamond wanahamia clouds alipo ali kiba. Jamaa anakula kote kote.😂😂😂😂

Akina kwisa wanabak wanahangaika tu kwenye mitandao kupambana na diamond boss wao anajua mchezo anao ucheza.

Wananchi wapuuzi wanabaki kutifuana kwenye mitandano na mitaani wakati wanaowashabikia wanajua wanachokifanya nyuma ya pazia.
Futa huuu upuuuzi leo utaoga matusi
 
Bora shule zifunguliwe mapema urudi kusoma.... maarifa y jamii
 
Wewe ni kiwisa?.., mbona kama imegusa mfupa.
Ndugu mtanzagiza kwanza leta ushahidi wa hiyo mikataba inayoonyesha Ruge anamiliki hizo hisa kama huna wewe ni mbea, mnafiki na mzandiki.
.
"Eti kina kiwisa hawajui lolote" yani watu wenye access na CMG wanaijua ndani nje useme hawajui lolote?
.
Ni sawa na mmiliki wa TUSIIME afungue shule nyingine useme wafanyakazi wake hawajui kuwa anashule shule nyingine.
.
LETA USHAHIDI HAPA KWANZA HUNA KANYE MATIKITI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndugu Ruge ambaye ni mmoja ya wamiliki wa mawingu radio na tv ni huyu huyu ambaye ana hisa asilimia 45 WCB ambako Diamond ana asilimia 25.

Kwa macho ya juu juu mnaweza shindwa elewa inakuaje.alichofanya Ruge ni kuhakikisha anakula kwa ufasaha sehemu zote mbili.kuwa kama Clouds itabaniwa sehemu sababu flan flan then badala yake wakapewa deal WCB anafaidika.

Na kama WCB watabaniwa sehemu na badala yake wakapewa CLOUDS anafaidika pia. Ni business strategy ambayo mimi nampongeza sana.

Wasiojua ndo wanabaki kuhangaika na beef ya clouds na wasafi classic.kingine ni kuwa wakati wcb inanawiri kupitia diamond wasiompenda diamond wanahamia clouds alipo ali kiba. Jamaa anakula kote kote.😂😂😂😂

Akina kwisa wanabak wanahangaika tu kwenye mitandao kupambana na diamond boss wao anajua mchezo anao ucheza.

Wananchi wapuuzi wanabaki kutifuana kwenye mitandano na mitaani wakati wanaowashabikia wanajua wanachokifanya nyuma ya pazia.
Ni wife wa kusaga 55 na mond 45 kama sikosei
 
Back
Top Bottom