Jinsi wavuta bangi tunavyoishi na wazee(mapoti)

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,550
44,702
Asikwambie mtu kukaa maskani yoyote Ni msala maana mamwera muda wowote wanatimba na mapira kutujaza.kama una roho nyepesi usikae kabisa we chukua mzigo stori nyingine kwenu,kula pia kwenu.mimi mpaka nafikia hapa nilipo nimedakwa Mara tano na polisi

Mara ya kwanza nipo mitaa ya Riverside tuko wakushi Kama sita hivi Mimi nilikuwa nanyonga kitu,ghafla bin vuu wazee wanne wamekuja tukashindwa kukimbia tukafungwa wawili wawili kwenye mashati wawili wakafungwa na pingu.tukapelekwa kituo kidogo Cha kibangu.

Sema siku hio wapiga debe(masarange) wengi walikua wamekamatwa kwa hiyo boss wa bus akaja kututoa wote ilibidi tukomae kwamba na sisi Ni wapiga debe.tukatolewa wote baada ya masaa Kama ma nne hivi.

Mara ya pili nakamwatwa Niko msasani B Club Niko na wahuni flani mida ya mchana na marasta pia walikuwepo walikuja wazee na defender mbili lakini uzuri mmiliki wa lile eneo alikuja akatutoa kwa shillingi 300000.

Mara ya tatu Niko vingunguti hapa sikukamatwa lakini Cha moto nilikiona maana nilikimbizana na Askari Kama dakika kumi hivi ye mwenyewe akachoka nimemtoa baru kuanzia vingunguti mpaka barakuda kugeuka nyuma nikaona nimemwacha mbali.kwa jinsi nilivyopagawa ilibidi nipande gari la kwenda kimanga afu kibaya nauli sikuwa nayo.konda alinielewa lakini alinionea huruma ninavyohema na kutoka jasho

Mara ya nne Niko mitaa ya perfect vision pale ubungo.siku hio nilichomeshwa maana niliondoka maskani lakini nikawa nimechukua kete moja nikailipue ma getoni.Nimetembea ile navuka daraja la kwenda mawasiliano nikashangaa watu wawili warefu wamenipiga bega nikadakwa kupigwa search wakanikamata na kiberiti bangi hawakuiona.nimefika kituoni SI ndio ikadondoka bahati mbaya.Ikawa msala kituo chenyewe Cha urafiki.hio kesi ndio ilikuwa kubwa kuliko kesi zote maana nilitoka kwa shillingi laki na nusu.

Mara ya tano Niko makoka mitaa ya kibangu mbele mbele.siku hio.asubuhi TU unaambiwa wamekuja na vi Noah vyeusi tukakamatwa watu watatu tukapelekwa mbez kwa yusufu kituo Cha polisi tulikaa kule siku tatu.nilivyopewa tu dhamana sikuwahi kurudi Tena hata kureport uzuri hio kesi sikutoa hata Mia.

Nyingine Niko mikasa club pale Riverside tukashangaa amekuja mshikaji kajifanya anataka kazi kumbe Ni Askari tumeanza kuvuta naye tukashangaa wameingia watu watatu SI ndio wakatupiga chini ya ulinzi..ilibidi nimpigie simu mpenzi wangu anitumie 20000 fasta nimalizane nao.

Kwa hiyo ndugu zangu tunakumbana na misukosuko mingi Sana ndo maana siku hizi maskani sitembelei kabisa nikienda nachukua mzigo wangu Kama Ni za 5000 za kunitosha kwa siku tatu au nne naishia zangu magetoni.
 
......."sema siku hio wapiga debe(masarange) wengi walikua wamekamatwa kwa hiyo boss wa bus akaja kututoa wote ilibidi tukomae kwamba na sisi Ni wapiga debe"

Nimecheka sana!
 
Hamna sehemu Kuna uonevu Kama ubungo.yaani watu karibia sehemu zote iwe segerea au vituoni ukiuliza wametoka ubungo.pale kwa sababu wahuni wengi wanaingia toka mikoani kwa hiyo wanafikia pale.wazee nao kwa kupenda hela wanakumbakizia wanaweza hata wakakupa kesi ya kuzurura kwamba huna kazi maalum
 
Asikwambie mtu kukaa maskani yoyote Ni msala maana mamwera muda wowote wanatimba na mapira kutujaza.kama una roho nyepesi usikae kabisa we chukua mzigo stori nyingine kwenu,kula pia kwenu.mimi mpaka nafikia hapa nilipo nimedakwa Mara tano na polisi
Mara ya kwanza nipo mitaa ya Riverside tuko wakushi Kama sita hivi Mimi nilikuwa nanyonga kitu,ghafla bin vuu wazee wanne wamekuja tukashindwa kukimbia tukafungwa wawili wawili kwenye mashati wawili wakafungwa na pingu.tukapelekwa kituo kidogo Cha kibangu.sema siku hio wapiga debe(masarange) wengi walikua wamekamatwa kwa hiyo boss wa bus akaja kututoa wote ilibidi tukomae kwamba na sisi Ni wapiga debe.tukatolewa wote baada ya masaa Kama ma nne hivi.
Mara ya pili nakamwatwa Niko msasani B Club Niko na wahuni flani mida ya mchana na marasta pia walikuwepo walikuja wazee na defender mbili lakini uzuri mmiliki wa lile eneo alikuja akatutoa kwa shillingi 300000.
Mara ya tatu Niko vingunguti hapa sikukamatwa lakini Cha moto nilikiona maana nilikimbizana na Askari Kama dakika kumi hivi ye mwenyewe akachoka nimemtoa baru kuanzia vingunguti mpaka barakuda kugeuka nyuma nikaona nimemwacha mbali.kwa jinsi nilivyopagawa ilibidi nipande gari la kwenda kimanga afu kibaya nauli sikuwa nayo.konda alinielewa lakini alinionea huruma ninavyohema na kutoka jasho
Mara ya nne Niko mitaa ya perfect vision pale ubungo.siku hio nilichomeshwa maana niliondoka maskani lakini nikawa nimechukua kete moja nikailipue ma getoni.nimetembea ile navuka daraja la kwenda mawasiliano nikashangaa watu wawili warefu wamenipiga bega nikadakwa kupigwa search wakanikamata na kiberiti bangi hawakuiona.nimefika kituoni SI ndio ikadondoka bahati mbaya.ikawa msala kituo chenyewe Cha urafiki.hio kesi ndio ilikuwa kubwa kuliko kesi zote maana nilitoka kwa shillingi laki na nusu.
Mara ya tano Niko makoka mitaa ya kibangu mbele mbele.siku hio.asubuhi TU unaambiwa wamekuja na vi Noah vyeusi tukakamatwa watu watatu tukapelekwa mbez kwa yusufu kituo Cha polisi tulikaa kule siku tatu.nilivyopewa tu dhamana sikuwahi kurudi Tena hata kureport uzuri hio kesi sikutoa hata Mia.
Nyingine Niko mikasa club pale Riverside tukashangaa amekuja mshikaji kajifanya anataka kazi kumbe Ni Askari tumeanza kuvuta naye tukashangaa wameingia watu watatu SI ndio wakatupiga chini ya ulinzi..ilibidi nimpigie simu mpenzi wangu anitumie 20000 fasta nimalizane nao.
Kwa hiyo ndugu zangu tunakumbana na misukosuko mingi Sana ndo maana siku hizi maskani sitembelei kabisa nikienda nachukua mzigo wangu Kama Ni za 5000 za kunitosha kwa siku tatu au nne naishia zangu magetoni.
Haturuhusu wavuta bangi kuanzisha Uzi humu
 
ilikuwa kati ya mwaka 2005..nimetoka zangu job...na ilikuwa mida ya SAA 2usiku,njiani kuelekea skani kuna pori Fulani la kimjini mjini...na nilipenda kuweka kambi pembeni ya njia...na wapitaji wanakuwa wachache mid a hiyo..

Basi bhana ile nimemaliza kublast na hata vumbi halijatulia...kwa nyuma yangu giza giza hivi...Mara wakaibuka Mapoti na wakanizunguka kwa mbele wote wanne na nilikuwa nimekaa juu kwenye jiwe,miguu inaninginia

mmoja akaniuliza mbona nasikia harufu ya Moshi...ww ndiye ume-blast.!?

sasa,kabla sijajibu Poti mmoja akanisogelea...akanifaham,akadakia na kusema... siyo huyu

Lakini bado yule mwenzake akasisitiza 'huyu ananukia' Moshi...hamsikii harufu.!?

Yule anayenifahamu naye akasisitiza siyo Mimi na hakuna harufu...akawaamuru maafande wenzie wakaendelea na patrol yao..

ilinibidi niachane na ile location
 
Me pia Kuna siku nyingine Niko kule UDsm kwenye ule uwanja nimebakisha kiukucha wazee flani wale walinzi wa geti la chuo nawaona wanakuja na pikipiki Honda ikabidi nikitupe kile kisheria..bahati nzuti nilikuwa na embassy nikailipua fasta.ile wamekuja tu harufu ishapotea wakaniambia ondoka hili eneo haturuhusu mkae pengine wewe Ni kibaka nikajitetea kwamba namalizia fegi naamsha.ila dah macho yalikuwa mekundu ghafla mixer jasho mwili mzima.sikurudi Tena ile location
 
Asikwambie mtu kukaa maskani yoyote Ni msala maana mamwera muda wowote wanatimba na mapira kutujaza.kama una roho nyepesi usikae kabisa we chukua mzigo stori nyingine kwenu,kula pia kwenu.mimi mpaka nafikia hapa nilipo nimedakwa Mara tano na polisi
Mara ya kwanza nipo mitaa ya Riverside tuko wakushi Kama sita hivi Mimi nilikuwa nanyonga kitu,ghafla bin vuu wazee wanne wamekuja tukashindwa kukimbia tukafungwa wawili wawili kwenye mashati wawili wakafungwa na pingu.tukapelekwa kituo kidogo Cha kibangu.sema siku hio wapiga debe(masarange) wengi walikua wamekamatwa kwa hiyo boss wa bus akaja kututoa wote ilibidi tukomae kwamba na sisi Ni wapiga debe.tukatolewa wote baada ya masaa Kama ma nne hivi.
Mara ya pili nakamwatwa Niko msasani B Club Niko na wahuni flani mida ya mchana na marasta pia walikuwepo walikuja wazee na defender mbili lakini uzuri mmiliki wa lile eneo alikuja akatutoa kwa shillingi 300000.
Mara ya tatu Niko vingunguti hapa sikukamatwa lakini Cha moto nilikiona maana nilikimbizana na Askari Kama dakika kumi hivi ye mwenyewe akachoka nimemtoa baru kuanzia vingunguti mpaka barakuda kugeuka nyuma nikaona nimemwacha mbali.kwa jinsi nilivyopagawa ilibidi nipande gari la kwenda kimanga afu kibaya nauli sikuwa nayo.konda alinielewa lakini alinionea huruma ninavyohema na kutoka jasho
Mara ya nne Niko mitaa ya perfect vision pale ubungo.siku hio nilichomeshwa maana niliondoka maskani lakini nikawa nimechukua kete moja nikailipue ma getoni.nimetembea ile navuka daraja la kwenda mawasiliano nikashangaa watu wawili warefu wamenipiga bega nikadakwa kupigwa search wakanikamata na kiberiti bangi hawakuiona.nimefika kituoni SI ndio ikadondoka bahati mbaya.ikawa msala kituo chenyewe Cha urafiki.hio kesi ndio ilikuwa kubwa kuliko kesi zote maana nilitoka kwa shillingi laki na nusu.
Mara ya tano Niko makoka mitaa ya kibangu mbele mbele.siku hio.asubuhi TU unaambiwa wamekuja na vi Noah vyeusi tukakamatwa watu watatu tukapelekwa mbez kwa yusufu kituo Cha polisi tulikaa kule siku tatu.nilivyopewa tu dhamana sikuwahi kurudi Tena hata kureport uzuri hio kesi sikutoa hata Mia.
Nyingine Niko mikasa club pale Riverside tukashangaa amekuja mshikaji kajifanya anataka kazi kumbe Ni Askari tumeanza kuvuta naye tukashangaa wameingia watu watatu SI ndio wakatupiga chini ya ulinzi..ilibidi nimpigie simu mpenzi wangu anitumie 20000 fasta nimalizane nao.
Kwa hiyo ndugu zangu tunakumbana na misukosuko mingi Sana ndo maana siku hizi maskani sitembelei kabisa nikienda nachukua mzigo wangu Kama Ni za 5000 za kunitosha kwa siku tatu au nne naishia zangu magetoni.
Mkuu una kimavi na manjagu, na pia upunguze ngenga.
 
Bangi inaongeza uwezo wa ubunifu
Bangi inakufanya kuishi maisha yako halisi
Bangii inakutengenezea marafiki wakutegemeka
Bangi ukivuta inakupa furaha kwa sababu utajikuta unacheka sana
Ha ha ha ha ha ha we chaliii unachekesha sn
 
tafta rosalina ni kama majani flani iv ukichanganya na ganja inakua ka perfume inanukia hata ikulu unakula kitu tuu sanasana utaulizwa perfume yako inaitwaje...

sjawah kukamatwa ila kunasiku nlkua uwanjani nkawaona mapoti kama 5 ivi wananifata skushtuka wala nn nliipekecha chini yote uzuri ni kwamba haizoleki nliwadindia nkawaambia kama harufu inafunga bas twendeni sema nlkua na vitambulisho

sipendagi kukaa kijiweni always nakula kitu geto bongee la boro pembeni juisi na karanga

nmeacha huu mwaka wa4 5 ivi...
 
Kuna siku walitimba skani yombo.. halafu uwanja full michanga... Kudadadeki tulifukuzana nao... mbio mbio mbio kwenye kukimbia kimbia nikajipiga mtama miguu ikagongana si mchanga mwingi... daaaah alifika ndata nipo chini pale akaanza kucheka Bwege Wewe na unene wako wote huo umenikimbiza mpaka huku una upepo haya potea akanisukumiza na mteke wa kisela...
 
Na huu uzi umeuandika huku unavuta, kumbe mnavutia JF sikuhizi hadharani kabisa, nakuja sasa hivi na defender hapo, na mara hii huchomoki alaaaaaa!
 
Back
Top Bottom